MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA

MASHUJAA WA AFRIKA NA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA

Chagua Jibu Sahihi

1.  Mkataba wa kwanza uliotiwa saini mwaka 1822 kukomesha biashara ya watu:— Tanganyika na Zanzibar uliitwa:

  1. Mkataba wa Moresby
  2. Mkataba wa Frere
  3. Mkataba wa Heligoland
  4. Mkataba wa Hamerton
  5. Mkutano wa Berlin 
Choose Answer


2.     Aliyekuwa Rais wa Tanganyika kabla ya muungano alikuwa:

  1.  Abeid Karume
  2.  Benjamin Mkapa
  3. Jakaya Kikwete 
  4. Julius Nyerere 
  5. Rashid Kawawa
Choose Answer


3. Mkutano wa kuligawa bara la Afrika ulifanyika:

  1. Berlin
  2. London
  3. Roma
  4. Paris
  5. New York
Choose Answer


4. Rais wa kwanza wa nchi ya Msumbiji alikuwa:

  1.  Edwardo do Santos           
  2.  Samora Machel
  3.  Edward Mondlane 
  4.  Joachim Chissano 
  5.  Grace Machel
Choose Answer



5. Sababu mojawapo ya kukomeshwa kwa biashara ya utumwa ilikuwa:

  1.  Huruma ya wazungu juu ya mateso ya watumwa
  2.  Waafrika kupigania uhuru wao
  3.  Kupata masoko ya bidhaa za ulaya
  4.  Wazungu kujali juu ya usawa wa watu wote
  5. Udhaifu wa watumwa kutoka Afrika.
Choose Answer


6. Mkataba wa 1890 uliogawanya Afrika Mashiriki kwa Wajerumani na Waingereli.ulijulikana kama:

  1.  Mkataba wa Hamerton 
  2.  Mkataba wa Haligoland
  3.  Mkataba wa Moresby 
  4.  Mkataba wa Afrika Mashariki
  5.  Mkataba wa Frere
Choose Answer


7. Makoloni ya Kifaransa Afrika yalikuwa pamoja na:

  1.  Togo na Morocco 
  2.  Senegal na Ghana
  3.  Nigeria na Tunisia 
  4.  Senegal na Morocco
  5.  Angola na Tunisia
Choose Answer


8. Nchi zipi zilihudhuria mkutano wa Berlin mwaka 1884 - 1885 kama watazamaji?

  1. Marekani na Uholanzi
  2. Kanada na Marekani
  3. Hispania na Marekani
  4. Polanda na Marekani
Choose Answer


9. Nchi ya Madagascar Ilitawaliwa na;

  1. Wareno
  2. Wajerumani
  3. Wataliano
  4. Waingereza
Choose Answer


10.shujaa wa kiafrika aliyeiongoza Ghana kupata Uhuru aliitwa;

  1. Gamer Nasser
  2. Kwame Nkrumah
  3. Julius Nyerere
  4. Jomo Kenyatta
Choose Answer


11. Kiongozi wa Jamuhuri ya Zaire ya Zamani aliyeuwawa mwaka 1961 alikuwa;

  1. Kamuzu Banda
  2. Patrice Lumumba
  3. Abubakar Tawafa
  4. Menelik II
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi ambazo ni sahihi na “si kweli” kwa sentensi ambazo siyo sahihi.

  1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni mmojawapo wa waasisi wa itikadi za Ujamaa wa Afrika…………
  2. View Answer


  3. Vyama vya siasa katika nchi za Afrika vilianzishwa ili kutetea maslahi ya wafanyakazi na wakulima……….
  4. View Answer


  5.  Samora Machel alikuwa kiongozi wa harakati za ukombozi nchini Angola……….
  6. View Answer


  7. Viongozi wa harakati za ukombozi wa Afrika walikuwa sio wazalendo………
  8. View Answer


  9. Uhuru kwa njia ya kivita ulikuwa sio wa lazima kwa nchi zilizokuwa chini ya ukoloni wa Wareno……….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256