MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA

UKOMBOZI DHIDI YA UVAMIZI WA SASA

Chagua Jibu Sahihi

  1. Lengo la elimu katika Afrika huru lilikuwa:
  1. kuleta walimu toka Ulaya.
  2. kupunguza kiwango cha wasiojua kusoma.
  3. kutoa elimu kwa ubaguzi wa rangi.
  4. kutoa elimu kwa kufuata dini.
  5. kutoa elimu kwa watoto wa machifu.
Choose Answer


  1. Mashirika ya Umoja wa Mataifa yatoayo msaada kwa Tanzania ni:
  1. UNESCO, WHO na IFM.
  2. FM, UNESCO na ILO.
  3. UNHCR, IMF na ILO.
  4. UNESCO, ILO na OAU.
  5. UNHCR, IMF na ILO.
Choose Answer


  1. Njia iliyotumiwa na mataifa ya Afrika kujikwamua kiuchumi baada ya uhuru ni:
  1. kuanzisha dini.
  2. kuongeza bei za pembejeo. 
  3. kudumisha utawala wa kikabila.
  4. kuboresha kilimo. 
  5. kusisitiza ukabila.
Choose Answer


  1. Kitendo cha nchi changa kulazimika kuzingatia matakwa na maslahi ya nchi za kibeberu huitwaje?
  1. ukoloni mkongwe 
  2. ukoloni mamboleo
  3. ubepari
  4. umangimeza 
  5. utandawazi
Choose Answer


  1. Viongozi wafuatao walikuwa waanzilishi wa umoja wa Nchi za Mistari wa mbele katika ukombozi wa Kusini mwa Afrika isipokuwa
  1. Hayati Julius Nyerere 
  2. Hayati Augustino Neto
  3. Hayati Samora M. Machel 
  4. Mzee Kenneth Kaunda 
  5. Hayati Laurent D.Kabila
Choose Answer


  1. Lipi kati ya yafuatayo ni miongoni mwa madhara ya ukoloni?
  1. kuzorota kwa viwanda vya serikali
  2. kukua kwa utamaduni wa Kiafrika
  3. kukomeshwa kwa ubaguzi wa rangi
  4. kuwepo kwa demokrasi
  5. elimu ilitolewa bure
Choose Answer


  1. Baadhi ya Maitafa yenye haki ya kura ya Veto katika Umoja wa Mataifa ni:
  1.  Ufaransa, Uturuki na Marekani
  2.  Marekani, Uingereza na China
  3.  Marekani, China na India
  4.  Brazili.Ufaransa na Italia
  5. Urusi, China na India
Choose Answer


  1. Chanzo kikuu cha wakimbizi Afrika Mashariki na Kati ni:
  1. uchochezi wa mataifa ya kijamaa yaliyosambaratika
  2. migogoro na vita vya wenyewe kwa wenyewe
  3. tamaa ya makundi yenye uwezo wa kupigana
  4. uvivu, njaa, ukame na kukosa demokrasia
  5. kuzaliana kwa wingi kwa kundi moja dhidi ya mengine
Choose Answer


  1. Ipi ni sababu kuu ya kutokuwepo kwa utulivu wa kisiasa miongoni mwa nchi barani Afrika?
  1. Ukiukwaji wa sheria na katiba
  2. Utawala wa demokrasia
  3. Ongezeko la idadi ya watu
  4. Ujenzi wa miundombinu
  5. Ukame wa muda mrefu
Choose Answer


  1.                      Vita vilivyozuka nchini Ruanda mwaka 1994 vilisababishwa na:
  1.  ukabila 
  2.  ubaguzi wa rangi 
  3.  rushwa 
  4.  ukabaila 
  5.  Ubepari
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi ambazo ni sahihi na “si kweli” kwa sentensi ambazo siyo sahihi.

  1. Harakati za awali za ukombozi wa Mwaafrika zilifanyika katika uchumi tu………..
  2. View Answer


  3. Reli ya TAZARA ilijengwa ili kuimairisha urafiki wa Tanzania na Zambia………
  4. View Answer


  5. Rushwa na ufisadi ni mojawapo ya mafanikio ya kuboreshwa kwa uchumi katika nchi za Afrika…………
  6. View Answer


  7. Kuboresha elimu kama vile njia za ufundishaji na kujifunza, mitaala na vitabu kunaweza kuwajengea Watanzania maarifa ya kujitegemea………..
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256