MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA

SHUGHULI ZA KUZALISHA MALI

Chagua Jibu Sahihi

1. Pareto hutumika kutengenezea:

  1. manukato
  2. dawa za kuulia wadudu
  3. vipodozi
  4. jeli
  5. mapambo
Choose Answer


2. Aina kuu mbili za biashara ni:

  1. biashara ya mkopo na ya malipo
  2. biashara ya mkopo na kubadilishana
  3. biashara ya mtaji na fedha
  4. Biashara ya hisa na ya mitaji
  5. biashara ya ndani na ya nje
Choose Answer


3. Mikoko ni aina ya uoto upatikanao pembezoni mwa:

  1. mito
  2. maziwa
  3. bahari
  4. mabwawa
  5. visima
Choose Answer


4. Biashara ya ndani ni ile inayohusisha bidhaa ...

  1. zinazotengenezwa nje ya nchi.
  2. zinazotengenezwa na kuuzwa ndani ya nchi.
  3. zinazozalishwa ndani ya nchi.
  4. zinazotengenezwa na kuuzwa nje ya nchi.
  5. zinazouzwa nje ya nchi.
Choose Answer


Andika “ndiyo” kwa sentensi sahihi na “hapana” kwa sentensi ambazo siyo sahihi

  1. Uwepo wa zana za kisasa za uvuvi kunasaidia kuongeza wingi wa Samaki wanaovuliwa………
  2. View Answer


  3. Uchimbaji wa madini hauna madhara katika mazingira……….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256