MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA

MFUMO WA JUA

Chagua Jibu Sahihi

  1. Kitu kinachoonekana angani kikizungunga jua kupitia njia maalumu huitwa
  1. Sayari
  2. Roketi
  3. Gimba
  4. Nyota
Choose Answer


  1. Nyota iliyokaribu na dunia huitwa
  1. Jua
  2. Mwezi
  3. Venus
  4. Zebaki
Choose Answer


  1. Sayari iliyombali kabisa na jua huitwa;
  1. Zohari
  2. Kausi
  3. Mirihi
  4. Zuhura
Choose Answer


  1. Vitufe vidogo kuliko sayari vilivyoundwa kwa miamba migumu ambavyo ulizunguka jua huitwa;
  1. Kometi
  2. Vimondo
  3. Asteroid
  4. Gimbi
Choose Answer


5. Jua la utosi katika mwezi Disemba huwa katika . 

  1.  Kizio cha Kusini.  
  2. Tropiki ya Kansa.          
  3.  Ikweta. 
  4. Kizio cha Kaskazini.       
  5. Tropiki ya Kaprikoni.
Choose Answer


6. Kundi lipi linaonesha sayari?

  1.  Zebaki, Mwezi na Zuhura
  2.  Dunia, Nyota na Mihiri
  3.  Zebaki, Serateni na Zohari
  4.   Zuhura, Dunia na Kimondo
  5.  Utaridi, Jua na Mwezi
Choose Answer


7. Majira ya mwaka hutokea kutokana na ...

  1. kupatwa kwa mwezi
  2. mwezi kuizunguka dunia
  3. dunia kulizunguka jua 
  4. kupatwa kwa jua
  5. kuongezeka kwa joto.
Choose Answer


8. Chanzo kikuu cha mnishati katika fumo wa jua ni:

  1.  Dunia 
  2.  Sayari 
  3.  jua 
  4.  Mwezi 
  5.  Nyota
Choose Answer


9. Ni sayari zipi kati ya zifuatazo zina miezi?

  1. Dunia, Kamsi, Mihiri na Zuhura.
  2. Dunia, Zohari, Zuhura na Kamsi.
  3. Dunia, Sumbula, Sarateni na Kamsi.
  4. Sarateni, Zebaki, Dunia na Kamsi.
  5. Dunia, Sumbula, Sarateni na Zebaki.
Choose Answer


10. Dunia huchukua muda gani kukamilisha mzunguko mmoja katika mhimili wake?

  1. Saa 12. 
  2. Dakika 1440.
  3. Dakika 24. 
  4. Saa 60.
  5. Dakika 240.
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256