MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA

UTAMADUNI WETU

Chagua Jibu Sahihi

  1. Tanzania ina makabila mangapi?
  1. 100
  2. 140
  3. 120
  4. 110
Choose Answer


  1. Ipi sio utamaduni wa mtanzania?
  1. Kucheza ngoma za asili
  2. Vyakula vya asili
  3. Sherehe za jando
  4. Wanawake kuvaa suruari na sketi fupi
Choose Answer


  1. Sherehe za mafunzo yanayotolewa kwa vijana wa kiume ili kuwa wanajamii bora huitwa?
  1. Tohara
  2. Unyago
  3. Jando
  4. Desturi
Choose Answer


  1. Yapi sio mafunzo yatolewayo wakati wa sherehe za Jando?
  1. Kujitegemea
  2. Elimu stadi za Maisha
  3. Kupenda na kuthamini kazi
  4. Ibada za kanisani
Choose Answer


  1. Ipi sio sifa ya mavazi ya jamii za kitanzania?
  1. Mavazi ya kustiri mwili
  2. Mavazi nadhifu
  3. Suti
  4. Mavazi yanaoendana na mazingira
Choose Answer


  1. Kipi kati ya hizi sio vyakula vya kiafrika?
  1. Maziwa
  2. Chapati
  3. Ugali wa mtama
  4. Nyama
Choose Answer


  1. Ipi kati ya hizi sio ngoma ya asili?
  1. Ngona
  2. Filimbi
  3. Manyanga
  4. Gitaa
Choose Answer


  1. Ngoma gani ambayo haiowani na kabila linalocheza ngoma
  1. Ngoma ya sindimba- Wamakonde
  2. Ngoma ya Kasimbo- wahaya
  3. Ngoma ya Mganda- Pare
  4. Ngoma ya Mdundiko- wazaramo
Choose Answer


  1. Ipi siyo faida ya utamaduni katika Jamii?
  1. Kudumisha umoja wa kitaifa
  2. Kulinda rasilimali za taifa
  3. Kuiga utamaduni mpya
  4. Kulinda rasilimali za Taifa
Choose Answer


  1. Mwanamke anayefanya shughuli za kukeketa na kutoa ushauri wakati wa shughulu za unyago huitwa?
  1. Mrindiko
  2. Mshenga
  3. Ngariba
  4. mkunga
Choose Answer


MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA

UTAMADUNI WETU

Chagua Jibu Sahihi

  1. Tanzania ina makabila mangapi?
  1. 100
  2. 140
  3. 120
  4. 110
Choose Answer


  1. Ipi sio utamaduni wa mtanzania?
  1. Kucheza ngoma za asili
  2. Vyakula vya asili
  3. Sherehe za jando
  4. Wanawake kuvaa suruari na sketi fupi
Choose Answer


  1. Sherehe za mafunzo yanayotolewa kwa vijana wa kiume ili kuwa wanajamii bora huitwa?
  1. Tohara
  2. Unyago
  3. Jando
  4. Desturi
Choose Answer


  1. Yapi sio mafunzo yatolewayo wakati wa sherehe za Jando?
  1. Kujitegemea
  2. Elimu stadi za Maisha
  3. Kupenda na kuthamini kazi
  4. Ibada za kanisani
Choose Answer


  1. Ipi sio sifa ya mavazi ya jamii za kitanzania?
  1. Mavazi ya kustiri mwili
  2. Mavazi nadhifu
  3. Suti
  4. Mavazi yanaoendana na mazingira
Choose Answer


  1. Kipi kati ya hizi sio vyakula vya kiafrika?
  1. Maziwa
  2. Chapati
  3. Ugali wa mtama
  4. Nyama
Choose Answer


  1. Ipi kati ya hizi sio ngoma ya asili?
  1. Ngona
  2. Filimbi
  3. Manyanga
  4. Gitaa
Choose Answer


  1. Ngoma gani ambayo haiowani na kabila linalocheza ngoma
  1. Ngoma ya sindimba- Wamakonde
  2. Ngoma ya Kasimbo- wahaya
  3. Ngoma ya Mganda- Pare
  4. Ngoma ya Mdundiko- wazaramo
Choose Answer


  1. Ipi siyo faida ya utamaduni katika Jamii?
  1. Kudumisha umoja wa kitaifa
  2. Kulinda rasilimali za taifa
  3. Kuiga utamaduni mpya
  4. Kulinda rasilimali za Taifa
Choose Answer


  1. Mwanamke anayefanya shughuli za kukeketa na kutoa ushauri wakati wa shughulu za unyago huitwa?
  1. Mrindiko
  2. Mshenga
  3. Ngariba
  4. mkunga
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi ambazo ni sahihi na “si kweli” kwa sentensi ambazo si sahihi

  1. Tamaduni zote za kale zimepitwa na wakati……..
  2. View Answer


  3. Utamaduni hueleza asili, historia na mifumo ya jamii inayohusika………
  4. View Answer


  5. Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) lina dhamana ya kusimamia na kukuza kazi ya sanaa nchini Tanzania………
  6. View Answer


  7. Utamaduni wa Mtanzania kwa kiwango kikubwa umejengwa wakati wa ukoloni……..
  8. View Answer


  9. Njia ya majadiliano na jamii haiwezi kusaidia katika kukabiliana na tamaduni zilizopitwa na wakati………..
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256