MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA
HALI YA HEWA
Chagua Jibu Sahihi
1. Pepo huvuma kutoka pande zipi jua liwapo upande wa kusini mwa dunia?
2. Hygrometa ni kifaa kinachotumika kupimia:
3. hali ya anga inaweza kupimwa kwa muda ufuatao isipokuwa;
4. jotoridi hupimwa na kifaa kinachoitwa
5. unyevunyevu wa anga hupimwa katika;
6. mgandamizi wa hewa unapimwa kwa kutumia;
7. Lipi sio kundi la mawingu?
8. Kipimo cha kimataifa cha kupimia mawingu katika eneo linalohusika kinaitwa?
Andika “kweli” kwa sentensi ambazo ni sahihi na “si kweli” kwa sentensi ambazo si sahihi