MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SITA

UJASIRIAMALI

Chagua jibu sahihi Zaidi

  1. Mtiririko gani kati ya hii ifuatayo ndio sahihi kabla ya kuanza ujasiriamali biashara?
  1. Kutafuta fedha, kuajiri watu na kuwapa mkataba
  2. Kuchagua sehemu ya kufanyia biashara, kufuata sheria na kuchagua biashara
  3. Kuwa na wazo la biashara, kijiamini na kufahamu unachotaka kuwapatia wateja
Choose Answer


  1. Mafanikio katika biashara hutegemea………
  1. Jinsi unavyofikiri na kutenda
  2. Kiasi cha fedha ulichonacho
  3. Watu gani ulio na uhusiano nao
Choose Answer


  1. Vitu gani kati ya vifuatavyo ni imani potofu kuhusu ujasiriamali?
  1. Ujasiriamali ni kipaji, ujasiriamali ni bahati, ujasiriamali ni ubunifu
  2. Ujasiriamali ni fedha, ujasiriamali ni bahati na ujasiriamali ni kipaji
  3. Ujasiriamali ni fedha, ujasiriamali ni ubunifu, ujasiriamali ni bahati
Choose Answer


  1. Mjasiriamali biashara lazima…………kabla ya kuzalisha au kununua na kuuza bidhaa
  1. Atangaze biashara yake kwenye vyombo vya habari, misikitini na makanisani
  2. Afanye utafiti wa kina kuhusu soko
  3. Afanye ziara kwa marafiki zake kuwajulisha kuhusu mpango wa biashara ili wamsaidie kuitangaza
Choose Answer


  1. Ni tabia gani inachangia kuuwa biashara?
  1. Kukopa benki
  2. Usimamizi mzuri
  3. Kuajiri ndugu
  4. Kutumia pesa kwa utaratibu uliopangwa
Choose Answer


  1. Ipi sio tabia ya mjasiriamali?
  1. Kufanya kazi kwa bidii
  2. Ubunifu
  3. Kujiburudisha baada ya kazi
  4. Kutokata tamaa
Choose Answer


  1. Serikali inaweza kusaidia wajasiriamali wanao chipukia kwa;
  1. Kuwapa mtaji
  2. Kuboresha mazingira ya kufanya biashara
  3. Kuwafungulia biashara
  4. Kuwazawadia wanaofanya vizuri
Choose Answer


  1. Ipi kati ya hizi sentensi ipo sahihi?
  1. Kuwa mjasiriamali hauwitaji uwezo mkubwa wa kifedha
  2. Ujasiriamali ni kipaji cha kuzaliwa
  3. Wajasiriamali ni watu waliofeli mitihani
  4. Ili ufanye biashara vizuri lazima ufanye masomo ya biashara
Choose Answer


  1. Ipi kati ya hayo sio jambo la muhimu la kufanya kabla ya kuanzisha biashara?
  1. Wazo la biashara
  2. Kufanya utafiti
  3. Kuandaa mpango biashara
  4. Kutafuta mtaji
Choose Answer


  1. Ujasiriamali umegawanyika katika makundi manne, lipi kati ya haya sio mojawapo?
  1. Ujasiriamali wa biashara mdogo mdogo
  2. Ujasiriamali wa biashara kubwa
  3. Ujasiriamali wa biashara ya kati
  4. Ujasiriamali wa chini
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256