MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE
MATUKIO YA KIHISTORIA
Chagua Jibu Sahihi
1. Kumbukumbu ya kifo cha raisi wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hufanyika kila mwaka siku ya tarehe
2. Kati ya hatua zifuatazo, hatua ya mwisho ya mabadiliko ya binadamu kwa mujibu wa nadharia ya kisayansi ilikuwa
3. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huadhimishwa kila mwaka tarehe .........
4.Hatua au zama iliyoonesha maendeleo ya kijamii ya mwanadamu inaitwa .........
5. kifaa kinachotunza kazi zako za mazoezi shuleni huitwa?
6. Upi sio umuhimu wa kutunza kumbukumbu?
7. Njia ya kutunza kumbukumbu kwa kuadisia matukio ya zamani kutoka kizazi kimoja hadi kingine huitwa?
8. Sehemu ambapo kumbukumbu mbalimbali za historia huifadhiwa huitwa?