MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

FURSA KATIKA MAENEO MBALIMBALI

Chagua Jibu Sahihi

  1. Madini ya bati yanapatikana mkoa gani?
  1. Ulanga
  2. Karagwe
  3. Mwadui
  4. Chunya
Choose Answer


  1. Ni mkoa gani tunaweza kupata madini ya Uraniamu?
  1. Biharamulo
  2. Tanga
  3. Namtumbo
  4. Manyara
Choose Answer


  1. Ni madini gani yanapatikana Tanzania tu?
  1. Dhahabu
  2. Ulanga
  3. Uraniamu
  4. Fosfeti.
Choose Answer


  1. Ipi kati ya hizi fursa hupatikana maeneo ya msitu?
  1. Ufugaji
  2. Ufugaji wa nyuki
  3. Uvunaji miti
  4. Vivutio vya utalii
Choose Answer


  1. Mbuga kubwa kabisa ya wanyama Tanzania ni?
  1. Mikumi
  2. Tarangire
  3. Serengeti
  4. Saadani
Choose Answer


  1. Ipi sio faida ya utalii?
  1. Kuleta fedha za kigeni
  2. Kuleta ajira
  3. Kuchafua mazingira
  4. Kustawisha nchi
Choose Answer


Andika ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi si sahihi.

  1. Mbwa, Nyati, sungura na simba ni Wanyama wa porini……………..
  2. View Answer


  3. Mazao ya misitu hutumika kutengeneza milango na madirisha……………..
  4. View Answer


  5. Merarani ni eneo linalozalisha madini ya bati………………
  6. View Answer


  7. Upinde, mkuki na mishale sio vifaa vya kupasulia mawe……………
  8. View Answer


  9. Watu hupata dawa za kutibu magonjwa mbalimbali kutoka kwenye misitu…………….
  10. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256