MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

HALI YA HEWA

Chagua Jibu Sahihi

  1. Kipi sio kipengele cha hali ya hewa?
  1. Upepo
  2. Mvua
  3. Halijoto
  4. Kiangazi
Choose Answer


  1. Hali ya hewa hurekodiwa kwa muda ufuatao isipokuwa?
  1. Siku
  2. Masaa
  3. week
  4. Miaka
Choose Answer


  1. Kifaa kinachotumika kupima kasi ya upepo kinaitwaje?
  1. Kipimajoto
  2. Kipima upepo
  3. Anemometa
  4. Okitasi
Choose Answer


  1. Mgandamizo wa hewa upimwa na kifaa kinachoitwa?
  1. Haigrometa
  2. Baromita
  3. Kampbeli stok
  4. Kipima mvua
Choose Answer


  1. Kipimo cha kipima mvua ni?
  1. Milibaa
  2. Farinaiti
  3. Kilomita
  4. Asilimia
Choose Answer


  1. Je kifaa kinachopima mwanga wa jua kwa saa huitwa?
  1. Haigromita
  2. Anemomita
  3. Kampbeli stok
  4. Baromita
Choose Answer


  1. Hali ya kubadilika vipengele vya hali ya hewa huitwa?
  1. Tabianch
  2. Hali ya anga
  3. Mabadiliko ya hali ya hewa
  4. Mabadiliko ya tabianchi
Choose Answer


  1. Mojawapo wa madhara ya mvua kubwa ni?
  1. Kiangazi
  2. Mafuriko
  3. Ukame
  4. Mimea kustawi
Choose Answer


  1. Ipi sio dalili ya mvua kunyesha?
  1. Mawingu
  2. Upepo
  3. Radi
  4. Jua kali
Choose Answer


  1. Tunaweza kujikinga na madhara ya mvua nyingi kwa?
  1. Kujenga nyumba imara sehemu za mwinuko
  2. Kuvaa koti
  3. Kuendesha gari kwa mwendo wa kasi
  4. Kuvaa nguo nyepesi
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256