MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

MFUMO WA JUA

Chagua Jibu Sahihi

  1. Ni kipi hupatikana katikati ya mfumo wa jua?
  1. Asteroid
  2. Obiti
  3. Jua
  4. Nyota
Choose Answer


  1. Kila sayari huzunguka jua katika njia yake huitwa?
  1. Asteroid
  2. Zohali
  3. Obiti
  4. Kometi
Choose Answer


  1. Sayari ya nne kutoka kwenye jua ni?
  1. Zebaki
  2. Mirihi
  3. Sumbula
  4. Kausi
Choose Answer


  1. Sayari yenye kuwezesha uhai ni?
  1. Kausi
  2. Dunia
  3. Zohali
  4. Sarateni
Choose Answer


  1. Mazingira huundwa na?
  1. Miti na mawe
  2. Wanyama na miti
  3. Viumbe hai na visivyo hai
  4. Wanyama na binadamu
Choose Answer


  1. Kipi hakiwezi kuonekana wakati wa mchana?
  1. Wawingu
  2. Mwezi
  3. Nyota
  4. Jua
Choose Answer


  1. Tabia ya uwezo wa kurudisha mionzi ya mwanga kutoka kwenye kitu chenye sura laini huitwa?
  1. Mhimili
  2. Akisi
  3. Satelaiti
  4. Nishati
Choose Answer


  1. Sayari yenye pete huitwa?
  1. Zebaki
  2. Materoidi
  3. Sarateni
  4. Mirihi.
Choose Answer


Andika ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi si sahihi

  1. Kimondo ni chanzo cha mwanga duniani…………….
  2. View Answer


  3. Mfumo wa jua una sayari kumi……………..
  4. View Answer


  5. Njia ya sayari kulizunguka jua huitwa obiti……………
  6. View Answer


  7. Sayari yenye pete huitwa mirihi………..
  8. View Answer


  9. Jua huzunguka dunia wakati wa usiku…………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256