MTIHANi WA MWISHO WA MADA

URAIA NA MAADILI LA SABA

KUTII SHERIA NA KANUNI

MADA YA NANE

Chagua jibu sahihi.

  1. Kuwa mwangalifu katika matumizi ya mitandao kuna faida gani katika jamii?
  1. Kutatua migogoro ya kifedha
  2. Kuboresha biashara zetu
  3. Kuepuka kuvunja sheria
  4. Kujitenga na watu
Choose Answer


  1. Ipi ni njia mojawapo ya kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ya mawasiliano?
  1. Midahalo na makongamano
  2. Kutoa huduma kwa wateja
  3. Kuheshimu matumizi sahihi ya dini zetu
  4. Kufuata sheria za matumizi ya mitandao
Choose Answer


  1. Ipi kati ya njia zifuatazo ni sahihi kuepuka kufanya makosa ya mitandao ya mawasiliano?
  1. Kufungua kesi polisi
  2. Kutii sheria na kanuni
  3. Kutotumia mitandao
  4. Kutotumia simu za mikononi
Choose Answer


  1. Ipi kati ya zifuatazo ni faida ya matumizi sahihi ya mitandao ya mawasiliano?
  1. Kurahisisha kutoa na kupata taarifa
  2. Kurahisisha kupata ajira kwa vijana kwa njia ya mkato
  3. Kurahisisha kupata maadui wengi
  4. Kurahisisha kutofanya kazi
Choose Answer


  1. Ipi kati ya zifuatazo ni maana sahihi ya neno mawasiliano?
  1. Mfumo wa kupashana habari na ujumbe
  2. Taaluma ya utafutaji habari
  3. Kazi ya kujitolea kutafuta habari
  4. Mfumo wa kujua habari zilizofichwa
Choose Answer


Andika “kweli” kwa sentensi iliyo sahihi na “si kweli” kwa sentensi isiyo sahihi katika sehemu iliyoachwa wazi.

  1. Kupiga na kusambaza picha zisizo na maadili ya Kitanzania mitandaoni ni kosa la jinai…………
  2. View Answer


  3. Kuzijua na kuzitekeleza sheria na kanuni zinazohusu mitandao siyo njia sahihi ya kuepuka kufanya makosa ya mitandao ya mawasiliano………..
  4. View Answer


  5. Kudumisha mawasiliano katika jamii ni mojawapo ya hasara ya matumizi ya mitandao ya kijamii………..
  6. View Answer


  7. Kutii sheria na kanuni ni njia ya kuepusha makosa ya mitandao ya mawasiliano…………
  8. View Answer


  9. Mitandao ni mfumo wa mawasiliano unaruhusu watu kuwasiliana kwa kutumia ujumbe mfupi wa maandishi, picha au video…………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256