MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A TANO

KUWA MVUMILIVU

 

Chagua Jibu sahihi

  1. Lipi kati ya haya ni matendo ya uvumulivu?
  1. Kulalamika
  2. Kuheshimu itikadi na mila za watu
  3. Kuwasema wengine
  4. Kujiona bora
Choose Answer


  1. Ni kitendo kipi sio sahihi?
  1. Kuheshimu sala za wakristo
  2. Kudharau mavazi ya kiislamu
  3. Kutopiga kelele darasani
  4. Kutumia lugha ya taifa
Choose Answer


  1. Tunapopata changamoto katika maisha tunapaswa?
  1. Kulia
  2. Kukata tama
  3. Kuwa mvumilivu na kutafuta suluhisho
  4. Kudai haki
Choose Answer


  1. Lengo la uvumilivu ni
  1. Kuvumilia mateso
  2. Kukata tama
  3. Kutafuta njia sahihi za kutatua shida
  4. Kufikia malengo
Choose Answer


  1. Kunapo tokea mabadiliko katika jamii tunapaswa
  1. Kukata tama
  2. Kujiamini
  3. Kuyapinga
  4. Kulia
Choose Answer


  1. Kipi kitatokea ikiwa tutashindwa kutatua changamoto za maisha?
  1. Vidonda vya tumbo
  2. Shinikizo la damu
  3. Kushindwa kutimiza majukumu
  4. Yote hayo
Choose Answer


  1. Baadhi ya athari za kisaikolojia za kutotatua changamoto ni
  1. Kuwa na hofu
  2. Kukonda
  3. Kuugua
  4. Kunenepa
Choose Answer


  1. Tunaweza kukabiiana na changamoto za maisha kwa;
  1. Kushirikisha wakubwa zetu
  2. Kutumia madawa ya kulevya
  3. Kusali
  4. Kuvumilia
Choose Answer


  1. Hali isiyo na jibu la haraka huitwa:
  1. Taaluma
  2. Fursa
  3. Utata
  4. Changamoto
Choose Answer


  1. Ipi sio sahihi
  1. Changamoto ni sehemu ya maisha
  2. Uzoefu unasaidia kutatua changamoto za maisha
  3. Changamoto zinatakiwa zikufanye ukate tama
  4. Changamoto ni njia ya kujifunza
Choose Answer


Andika KWELI au SI KWELI katika sentensi zifuatazo:

  1. Uvumilivu unamfanya mtu astahimili changamoto…………
  2. View Answer


  3. Ni vizuri kuwaacha watu wenye Imani au itikadi tofauti wakae peke yao ili kuepusha migogoro……..
  4. View Answer


  5. Ni jambo la busara kuwa mstahimilivu kwa watu wenye mitazamo tofauti………….
  6. View Answer


  7. Kuvumilia katika Maisha ya kila siku ni Pamoja na kukubali mabadiliko hasi…………..
  8. View Answer


  9. Unapopata changamoto ni mwisho wa ndoto zako za Maisha………..
  10. View Answer


  11. Wazazi wakishindwa kukupa mahitaji ya shule, lazima ushuke kimasomo……..
  12. View Answer


  13. Unapopatwa na changamoto usijiingize katika makundi mabaya…………
  14. View Answer


  15. Unaweza kugeuza changamoto ikawa fursa………..
  16. View Answer


  17. Huwezi kutumia ushauri wa watu kutatua changamoto zako…………
  18. View Answer


  19. Changamoto ikitumiwa vizuri humnoa mtu kimaisha……………
  20. View Answer


  21. Mtoto hawezi kumshauri mzazi inapotokea changamoto ya Maisha katika familia……………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256