MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A TANO

KUJIPENDA NA KUWAPENDA WATU WENGINE

 

Chagua Jibu sahihi

  1.  

Andika KWELI au SI KWELI kwa maswali yafuatayo:

  1. Upendo halisi ni kujipenda mwenyewe……………………
  2. View Answer


  3. Watu wenye ulemavu wana mahitaji maalumu…………..
  4. View Answer


  5. Moja ya mahitaji ya kwanza ya mtu ni upendo……………..
  6. View Answer


  7. Majukumu ya kijinsi hubadilika…………..
  8. View Answer


  9. Majukumu ya kijinsia hubadilika kutokana na mtazamo wa jamii husika………….
  10. View Answer


  11. Watoto wa jinsi zote wanapaswa kujiheshimu na kuheshimiwa……………..
  12. View Answer


  13. Wanaume wote hawashiriki kabisa kupika chakula nyumbani………………
  14. View Answer


  15. Mavazi ya heshima yanaonesha tabia ya kupitwa na wakati na ushamba…………..
  16. View Answer


  17. Mavazi mengine huvaliwa na wanawake na wanaume………………
  18. View Answer


  19. Vazi la Lubega halivaliwi na Wamasai…………….
View Answer


MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A TANO

KUJIVUNIA SHULE NA KUIPENDA NCHI YETU

Chagua jibu sahihi

  1. Ni ishara gani inayoonyesha kwamba taifa limepatwa na msiba mkubwa?
  1. Benderazotekupepeanusumlingoti
  2. Benderayataifakupepeanusumlingoti
  3. Benderayataifakutopandishwakabisa siku yatukio
Choose Answer


  1. Vyombovyausafirikama vile melinandegehuwanaalamayabenderayataifa la Tanzania. Hiihumaanisha:
  1. Vinatoka Tanzania au nimaliya Tanzania
  2. Vinatumika Tanzania tu
  3. Hutumikanawatanzaniatuwanapokuwanjeya Tanzania
Choose Answer


  1. Alamaambayohutumikakuoneshaumilikiwamalinanyaraka za serikalituni:
  1. PichayamakamuwaRais
  2. Benderayataifa
  3. Nemboyataifa
Choose Answer


  1. Chimbuko la sheria zotenchini Tanzania ni:
  1. Fedhaya Tanzania
  2. Katibayajamhuriwamuunganowa Tanzania
  3. Vyamavyasiasa
Choose Answer


  1. Ni siku ambazoviongozihupatafursakuelezamafanikionachangamotozinazohitajikakufanyiwakazi:
  1. Siku za kukimbizwa mwenge wa uhuru tu
  2. SikukuuyaMapinduziya Zanzibar tu
  3. Sikukuu za taifa
Choose Answer


  1. Umuhimuwabenderayaraisni:
  1. Kutembeleakatikaziarambalimbalitu
  2. Kuoneshamamlaka yar ais
  3. Kuhamasisha mwenge wa uhuru
Choose Answer


  1. Rangiyabluuiliyopokatikabenderayataifahuwakilisha:
  1. Watanzania
  2. Madini
  3. Maji ambayonimito, maziwanabaharinchini Tanzania
Choose Answer


  1. Wimbo wa taifa huimbwa kwenye matukio yapi kati ya haya:
  1. Kwenyematukiomuhimuyakitaifa, taasisimbalimbalinatimuyataifainapochezanatimunyingineyanjeyanchiyetu
  2. Wakatishughulimahakamanizinapoanza
  3. Wakatiraisanahutubiatu
Choose Answer


  1. Mwenge wa uhuru uliwashwakwa mara ya kwanza lini?
  1. 9/12/1962
  2. 9/12/1961
  3. 26/4/1964
Choose Answer


  1. Baadhiyaalamazipatikanazokwenyefedhaya Tanzania ni.
  1. Twiga, tembo, nemboyataifana sura yarais
  2. Nembonyumbanakifaru
  3. Mwenge, twiga na sokwe
Choose Answer


  1. Maanayautamadunini:
  1. Ushabikiwakitu au jambounalolipenda
  2. Mtindowajumlawa Maisha yawatukatikajamii au taifa Fulani
  3. Shughuli za asilizinazofanywanawatu
Choose Answer


  1. Mambo yanayoifanyashulekuwanasifanzurini:
  1. Kupigabendiyashulevizuriiliwanafunziwashuleya Jirani watamanikuhamia
  2. Mazingirasafi, unadhifuwawanafunzi, matokeomazurikatikamtihaninanidhamunzuri
  3. Kuwahikwendashuleninakuwahikurudinyumbanitu
Choose Answer


  1. Mifanoyavikundivinavyowezakuundwashuleninikama:
  1. Skauti, klabu za mazingira, klabu za TAKUKURU, klabu za masomo
  2. Upatu, ushirikanavyamavyasiasa
  3. Skauti, singelina ngoma za asili
Choose Answer


  1. Umoja, uzalendo, ushirikiano, upendo, heshima, utu, kujaliwazeenawazazi, nimfanoyatunu za taifaletu, hivyoyatupasa:
  1. Kuziandikanakuzisomakila mara
  2. Kuwahamasisha wananchi wotewapatekuzisoma
  3. Kuzithamininakuzienzi
Choose Answer


  1. Zipikatiyahizinimilazisizofaakatikajamii?
  1. Kufanyakazikwaushirikiano
  2. Kuwakeketawasichana
  3. Kuhamasishawanaumenawanawakekushirikianakufanyakazi za nyumbaniilikujiongezeakipato
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256