MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A TANO

KUITHAMINI JAMII

Chagua jibu sahihi.

  1. Unapo shiriki katika shughuli za maendeleo ya jamii unaleta;
  1. Mshikamano na uzalendo
  2. Shida kwa wananchi
  3. Mtandao wa ombaomba
  4. umasikini
Choose Answer


  1. Shughuli za kibinadamu ambazo huchangia uchafuzi wa vyanzo vya maji ni kama vile:
  1. Kufua nguo, kupanda miti kuzunguka eneo la vyanzo vya maji
  2. Kulima na kufua nguo kando kando ya mto
  3. Kutunza mazingira ya asili na kunywesha mifugo
  4. Kupanda miti
Choose Answer


  1. Mamlaka inayohusika na usimamizi na utunzaji mazingira nchini huitwa:
  1. Mamlaka ya mapato ya Tanzania
  2. Wizara ya afya
  3. Baraza la usimamizi wa mazingira la taifa
  4. Tume ya taifa ya mazingira
Choose Answer


  1. Ni vyema tuka boresha njia za uchimbaji wa madini ilikusaidia:
  1. Uchimbaji wa madini kuwa endelevu na wenye ufanisi
  2. Kutopata fedha za kutosha
  3. Kukosa ajira kwa wingi
  4. Kutofuta umaskini
Choose Answer


  1. Ukataji wa miti ovyo na uchomaji wa misitu huweza kusababisha:
  1. Ukame na baa la njaa
  2. Mvua nyingi na kupata eneo kubwa la kulima
  3. Kupata mavuno mengi
  4. umasikini
Choose Answer


  1. Shughuli za maendeleo ya jamii ni Pamoja na:
  1. Kuiba na kutapeli wenzako
  2. Kuharibu mazingira
  3. Kusafisha barabara, mitaro na mazingira
Choose Answer


  1. Elimu ya mazingira inapaswa kutolewa kwa;
  1. Watoto wa shule
  2. Kwa jamii nzima
  3. Kwa viongozi
  4. Kwa watu wazima tu
Choose Answer


  1. Kitendo cha kukata miti huchangia kuleta;
  1. Mafuriko
  2. Jangwa
  3. Kiangazi
  4. Vumbi
Choose Answer


  1. Mazingira machafu yanaweza kusababisha
  1. Jua kali
  2. Mafuriko
  3. Magonjwa
  4. Ukame
Choose Answer


  1. Ni kitendo kipi kinaadhiri na kuharibu mazingira?
  1. Kufuga wanyama wengi
  2. Kupanda miti
  3. Kutochoma misitu
  4. Kutolima sehemu zenye vyanzo vya maji
Choose Answer


Andika KWELI au SI KWELI kwenyesentensizifuatazo:

  1. Kupata takataka ovyo na kukata miti ovyo huchangia uharibifu wa mazingira…………..
  2. View Answer


  3. Kuchoma misitu ni njia mojawapo ya utunzaji wa mazingira…………
  4. View Answer


  5. Ufukiaji wa mashimo baada ya uchimbaji wa mchanga au madini ni kitendo cha uboreshaji wa mazingira…………..
  6. View Answer


  7. Ukichoma takataka ovyo karibu na misitu unatunza mazingira………….
  8. View Answer


  9. Ujenzi wa shule, zahanati, barabara na mifereji ni baadhi ya shughuli za maendeleo ya jamii……….

View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256