MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A TANO

KULINDA RASILIMALI NA MASLAHI YA NCHI

 

Chagua jibu sahihi

  1. Ipi kati ya hizi ni miongoni mwa rasilimali zilizopo Tanzania?
  1. Misitu
  2. Mbao
  3. Mkaa
  4. Nyasi
Choose Answer


  1. Ipi kati ya hizi ni faida ya misitu?
  1. Kutupatia madini
  2. Kutupatia mbao
  3. Kutupatia nafaka
  4. Kuikata
Choose Answer


  1. Tunawezaje kuhifadhi misitu?
  1. Kwa kukata miti
  2. Kwa kuchoma misitu
  3. Kwa kupanda miti
  4. Kulima ndani ya misitu
Choose Answer


  1. Ni kitendo gani kati ya hivi huchangia kuharibu rasilimali maji?
  1. Kukata miti kwenye vyanzo vya maji
  2. Kutochoma moto misitu
  3. Kutotiririsha maji machafu
  4. Kutunza miti
Choose Answer


  1. Ni kitendo gani kati ya hivi huchangia kuharibu rasilimali ardhi?
  1. Kulima matuta kwa kukinga mteremko
  2. Kuchoma misitu wakati wa kusafisha mashamba
  3. Kuweka mbolea ya samadi shambani
  4. Kutumia mbolea ya dukani
Choose Answer


  1. Madini ya almasi huchimbwa wapi Tanzania?
  1. Mererani
  2. Mwanza
  3. Shinyanga
  4. Arusha
Choose Answer


  1. Mojawapo ya misitu ya kupandwa Tanzania ni:
  1. Zaraninge
  2. Pugu-kisarawe
  3. Msitu wa kibena
  4. Udzungwa
Choose Answer


  1. Ni yapi sio matumizi ya maji
  1. Kusafiri
  2. Kuvua samaki
  3. Kuchimba madini
  4. Umwagiliaji
Choose Answer


  1. Ni ziwa gani lenye maji yasio na chumvi?
  1. Ziwa nyasa
  2. Tanganyika
  3. Victoria
  4. Albert.
Choose Answer


  1. Ni mlima upi Tanzania unaongoza kwa kuvutia watalii?
  1. Meru
  2. Usambara
  3. Kilimanjaro
  4. uluguru
Choose Answer


 

Andika KWELI au SI KWELI kwenye sentensi zifuatazo:

  1. Madini hutegemewa sana katika kuongeza pato la taifa…………
  2. View Answer


  3. Kila mtu anawajibika kulinda rasilimali za nchi………..
  4. View Answer


  5. Wanaoharibu rasilimali wanalisaidia taifa………….
  6. View Answer


  7. Mvuvi anayevua kwa kutumia sumu na baruti ni mtunzaji wa rasilimali………….
  8. View Answer


  9. Kukata miti ni njia mojawapo ya kulinda rasilimali misitu………….
  10. View Answer


  11. Wananchi wote wana jukumu la kulinda rasilimali madini…………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256