MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A TANO

MUUNDO WA UONGOZI SERIKALINI

Chagua jibu sahihi

  1. Msaidizi mkuu wa mkoa katika shughuli zake za utendaji ni nani?
  1. Ofisa elimu mkoa
  2. Katibu tawala wa mkoa
  3. Mkuu wa idara ya utawala na utumishi mkoa
  4. Ofisa afya wa mkoa
Choose Answer


  1. Mwenyekiti wa halmashauri ngazi ya wilaya huongoza akina nani?
  1. Wenyeviti wa mtaa
  2. Makatibu tawala
  3. Madiwani wa halmashauri
  4. Mtendaji wa kata
Choose Answer


  1. Katika ofisi ya kata, nani ni mtendaji mkuu?
  1. Diwani
  2. Ofisa mtendaji wa kata
  3. Ofisa mazingira wa kata
  4. Ofisa maendeleo wa kata
Choose Answer


  1. Mkurugenzi wa halmashauri anapatikanaje?
  1. Kwa kupigiwa kura na madiwani
  2. Kwa kuajiriwa na menejimenti ya utumishi wa umma
  3. Kwa kuteuliwa na rais
  4. Kwa kupigiwa kura na wananchi kattika halmashauri inayohusika
Choose Answer


  1. Katibu wa vikao vya baraza la madiwani ni nani?
  1. Mwenyekiti wa halmashauri
  2. Diwani wa viti maalumu
  3. Katibu tawala
  4. Mkurugenzi wa halmashauri
Choose Answer


  1. Wakuu wa idara katika halmashauri za wilaya huwawajibika kwa nani?
  1. Mkurugenzi wa halmashauri
  2. Mkuu wa wilaya
  3. Mkuu wa mkoa
  4. Ofisa tawala wa wilaya
Choose Answer


  1. Katibu kata anachaguliwa na:
  1. Wanachama wa chama tawala
  2. Mkutano mkuu wa kata
  3. Wananchi wa kata ile
  4. Mkutano wa kijiji wa mwaka
  5. Kamati ya kijiji
Choose Answer


  1. Mwakilishi wa Rais katika ngazi ya mkoa ni:
  1. Katibu tawala wa Mkoa
  2. Mkurugenzi mtendaji wa manispaa
  3. Mkuu wa Mkoa
  4. Afisa mtendaji wa Mkoa
  5. kamanda wa Polisi wa mkoa
Choose Answer


9.Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa ni:

  1. Kamanda wa Polisi wa Mkoa
  2. Katibu Tawala wa mkoa
  3. Afisa Usalama wa Mkoa
  4. Afisa Upelelezi wa makosa ya jinai wa Mkoa
  5. Mkuu wa Mkoa
Choose Answer


Andika neno KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Mwenyeketi wa baraza la madiwani na kamati ya fedha na mipango ni mkurugenzi wa halmashauri……….
  2. View Answer


  3. Jukumu la ofisa elimu ni kupambana na magonjwa mfano UKIMWI ………….
  4. View Answer


  5. Mkuu wa mkoa huteuliwa na rais…………
  6. View Answer


  7. Mkuu wa wilaya huapishwa na mkuu wa mkoa…………….
  8. View Answer


  9. Katibu tawala wa wilaya ni mshauri mkuu wa Mkuu wa wilaya………..
  10. View Answer


  11. Ofisa tarafa ana jukumu la kusimamia maofisa watendaji wa kata, vijiji na vitongoji………
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256