MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A TANO

KUDUMISHA AMANI

 

Chagua jibu sahihi

  1. Ipi kati ya zifuatazoni faida ya kuchangamana na watu wa asili tofauti?
  1. Upendo na kuheshimiana
  2. Ubaguzi
  3. Kuwa na moyo wa kutokuthamini utu
Choose Answer


  1. Kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila au imani kuna matokeo gani?
  1. Kunaleta kuheshimu watu wengine
  2. Kunaleta maendeleo ya kila kundi
  3. Kunakuza chuki na mafarakano katika jamii
Choose Answer


  1. Unapoona mtu mwenye asili ya China anaongea Kiswahili inamaanisha nini?
  1. Hajui lugha yake ya kichina
  2. Anakipenda Kiswahili kuliko Kichina
  3. Anaimarisha uhusiano wa kiutamaduni na nchi yetu
Choose Answer


  1. Uhuru wa mtu kuishi mahali popote nchini ni mfano wa nini?
  1. Haki za binadamu
  2. Njia za kupata maadui wengi
  3. Mbinu za kuzuia uzururaji
Choose Answer


  1. Tunaonesha kuthamini utu wa mtu tukifanya matendo gani?
  1. Tunapoangalia mwonekano wake
  2. Tunapoonesha kumjali bila kumbagua
  3. Tunapoangalia mavazi na sura yake
Choose Answer


  1. Matamshi ya kibaguzi yanaweza kuwa ya;
  1. Ya kidini
  2. Ya jinsia
  3. Ya rangi
  4. Yote hapo juu
Choose Answer


  1. Lipi kati ya hayo linaweza kusababisha ubaguzi?
  1. Umaskini
  2. Upendo
  3. Tofauti za kidini
  4. Kutii sheria
Choose Answer


  1. Hali ya kuwa pamoja na kushirikiana na watu katika shughuli huitwa;
  1. Umoja
  2. Undugu
  3. Kuchangamana
  4. Kushiriki
Choose Answer


  1. Mfumo wa kijamii wa kutoa vitu au huduma kwa upendeleo kwa msingi wa rangi, jinsia au kabila unaitwa;
  1. Ubepari
  2. Utajiri
  3. Ubaguzi
  4. Uonevu
Choose Answer


  1. Hali ya kuwa na tabia zinazojali hali ya mtu huitwa:
  1. Nasaba
  2. Upendo
  3. Utu
  4. umoja
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256