MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
SAYANSI DARASA LA NNE
MAGONJWA
Chagua Jibu Sahihi
1. Ni ugonjwa upi unaotokana na ukosefu wa madini joto (ayodini) mwilini?
- Surua
- Goita
- UKIMWI
- Matege
Choose Answer
2. Ugonjwa wa hatari zaidi unaosababishwa kwa kufaya ngono zembe ni
- kaswende
- UKIMWI
- kisonono
- Ebola
Choose Answer
3. Ipi kati ya zifuatazo sio ugonjwa wa kuambukizwa?
- Kichocho
- Kipindipindu
- malaria
- kifya kikuu
Choose Answer
4. Ugonjwa wa saratani unaweza kuchangiwa na:
- kutofanya mazoezi
- Uvutaji sigara na unywaji wa pombe
- Kula sana
- Uvivu
Choose Answer
5. Kati ya dalili zifuatazo ipi sio dalili ya kisukari?
- Kukojoa mara kwa mara
- Kuwa na kiu isiyoisha
- Uchovu wa mwili
- Kushindwa kupumua
Choose Answer
6. Upi kati ya magonjwa haya unaadhiri mfumo wa upumuaji?
- Kisukari
- Pumu
- Saratani
- Malaria
Choose Answer
7. ipi sio dalili ya ugonjwa wa malaria?
- Kuumwa kichwa
- Kutapika
- Joto kali la mwili
- Kuharisha
Choose Answer
8. kipindupindu uenezwa na:
- Mbu
- Panya
- Nzi
- Konokono
Choose Answer
9. ipi sio dalili ya kifua kikuu?
- Kukohoa mfululizo
- Kunenepa
- Kupoteza uzito
- Kukohoa damu
Choose Answer
10. Kati ya magonjwa haya, ni upi husababishwa na virusi?
- Pepopunda
- Kifua kikuu
- Tetekuwanga
- malaria
Choose Answer
MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
SAYANSI DARASA LA NNE
MFUMO WA MMENG’ENYO CHAKULA
Chagua Jibu Sahihi
- Usagaji wa chakula unaanza?
- Tumboni
- Mdomoni
- Utumbo mdogo
- Kwenye kongosho
Choose Answer
- Chakula ambacho hakijameng’enywa huishia wapi?
- Tumboni
- Utumbo mwembamba
- Utumbo mpana
- Kongosho
Choose Answer
- Aside ikipanda juu kifuani tunapata;
- Kichomi
- Kiungulia
- Kukabwa
- Uchungu
Choose Answer
- Ipi sio njia ya kuzuia kiungulia?
- Kula chakula taratibu
- Kunywa maji mengi
- Kuepuka vyakula vinasababisha kiungulia
- Pumzika kwa masaa kadhaa kabla ya kwenda kulala
Choose Answer
- Kipi kati ya hizi hakisabaishi vidonda vya tumbo?
- Kula chakula chenye aside
- Kula chakula kingi
- Mawazo mengi
- Kukaa njaa kwa muda mrefu
Choose Answer
Andika NDIYO kwa sentensi sahihi na HAPANA kwa sentensi isiyo sahihi.
- Mtu yeyote anaweza kupata tatizo kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula asipofuata kanuni za ulaji wa chakula……………
View Answer
- Kuvimbiwa husababishwa na kula vyakula vyenye mafuta kwa……………….
View Answer
- Mlo kamili hauwezi kulata madhara katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula……………
View Answer
- Sababu pekee ya vidonda vya tumbo ni kula vyakula vyenye asidi……………
View Answer
- Ulaji wa mboga za majani na matunda husababisha kasoro katika mmeng’enyo wa chakula………..
View Answer