MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA NNE

MAGONJWA

Chagua Jibu Sahihi

1. Ni ugonjwa upi unaotokana na ukosefu wa madini joto (ayodini) mwilini?

  1. Surua
  2. Goita
  3. UKIMWI
  4. Matege
Choose Answer



2. Ugonjwa wa hatari zaidi unaosababishwa kwa kufaya ngono zembe ni

  1. kaswende
  2. UKIMWI
  3. kisonono
  4. Ebola
Choose Answer


3. Ipi kati ya zifuatazo sio ugonjwa wa kuambukizwa?

  1. Kichocho
  2. Kipindipindu
  3. malaria
  4. kifya kikuu
Choose Answer


4. Ugonjwa wa saratani unaweza kuchangiwa na:

  1. kutofanya mazoezi
  2. Uvutaji sigara na unywaji wa pombe
  3. Kula sana
  4. Uvivu
Choose Answer


5. Kati ya dalili zifuatazo ipi sio dalili ya kisukari?

  1. Kukojoa mara kwa mara
  2. Kuwa na kiu isiyoisha
  3. Uchovu wa mwili
  4. Kushindwa kupumua
Choose Answer


6. Upi kati ya magonjwa haya unaadhiri mfumo wa upumuaji?

  1. Kisukari
  2. Pumu
  3. Saratani
  4. Malaria
Choose Answer


7. ipi sio dalili ya ugonjwa wa malaria?

  1. Kuumwa kichwa
  2. Kutapika
  3. Joto kali la mwili
  4. Kuharisha
Choose Answer


8. kipindupindu uenezwa na:

  1. Mbu
  2. Panya
  3. Nzi
  4. Konokono
Choose Answer


9. ipi sio dalili  ya kifua kikuu?

  1. Kukohoa mfululizo
  2. Kunenepa
  3. Kupoteza uzito
  4. Kukohoa damu
Choose Answer


10. Kati ya magonjwa haya, ni upi husababishwa na virusi?

  1. Pepopunda
  2. Kifua kikuu
  3. Tetekuwanga
  4. malaria
Choose Answer


MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA NNE

MFUMO WA MMENG’ENYO CHAKULA

Chagua Jibu Sahihi

  1. Usagaji wa chakula unaanza?
  1. Tumboni
  2. Mdomoni
  3. Utumbo mdogo
  4. Kwenye kongosho
Choose Answer


  1. Chakula ambacho hakijameng’enywa huishia wapi?
  1. Tumboni
  2. Utumbo mwembamba
  3. Utumbo mpana
  4. Kongosho
Choose Answer


  1. Aside ikipanda juu kifuani tunapata;
  1. Kichomi
  2. Kiungulia
  3. Kukabwa
  4. Uchungu
Choose Answer


  1. Ipi sio njia ya kuzuia kiungulia?
  1. Kula chakula taratibu
  2. Kunywa maji mengi
  3. Kuepuka vyakula vinasababisha kiungulia
  4. Pumzika kwa masaa kadhaa kabla ya kwenda kulala
Choose Answer


  1. Kipi kati ya hizi hakisabaishi vidonda vya tumbo?
  1. Kula chakula chenye aside
  2. Kula chakula kingi
  3. Mawazo mengi
  4. Kukaa njaa kwa muda mrefu
Choose Answer


Andika NDIYO kwa sentensi sahihi na HAPANA kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Mtu yeyote anaweza kupata tatizo kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula asipofuata kanuni za ulaji wa chakula……………
  2. View Answer


  3. Kuvimbiwa husababishwa na kula vyakula vyenye mafuta kwa……………….
  4. View Answer


  5. Mlo kamili hauwezi kulata madhara katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula……………
  6. View Answer


  7. Sababu pekee ya vidonda vya tumbo ni kula vyakula vyenye asidi……………
  8. View Answer


  9. Ulaji wa mboga za majani na matunda husababisha kasoro katika mmeng’enyo wa chakula………..
  10. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256