MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA NNE

MAWASILIANO

Chagua Jibu Sahihi

  1. Njia ya haraka ya kufikisha taarifa kwa watu wengi kwa muda mfupi ni?
  1. Simu
  2. Runinga
  3. Redio
  4. Magazeti
Choose Answer


  1. Kipi kati ya vifaa hivi kilitumika zamani kuwasiliana?
  1. Redio
  2. Simu
  3. Ngoma
  4. Runinga
Choose Answer


  1. Sehemu katika redio inayodaka mawimbi ya sumakuumeme ni?
  1. Antenna
  2. Stesheni
  3. Spika
  4. Kitufe
Choose Answer


  1. Upi sio umuhimu wa redio?
  1. Kuburudisha
  2. Kutaarifu
  3. Kuelimisha
  4. Kupotosha
Choose Answer


  1. Ipi sio njia sahihi ya kutunza redio?
  1. Weka sehemu kavu na safi
  2. Kuzima redio kwa soketi
  3. Kuacha betri kwenye redio hata kama haitumiwi
  4. Kufunika redio kwa kitambaa
Choose Answer


  1. Chombo cha runinga kinapokea;
  1. Sauti pekee
  2. Sauti na picha
  3. Picha pekee
  4. Mawimbi yote
Choose Answer


  1. Kipi sio madhara ya Watoto kuangalia runinga kwa muda mrefu?
  1. Kuathiri kitabia kwa sababu ya kuangalia vitu haviendani na umri wao
  2. Kuathiri kimasomo kwa kutumia muda mwingi kwenye runinga
  3. Kupata maarifa mbalimbali
  4. Kuiga mambo yanayoonekana katika runinga
Choose Answer


  1. Kifaa kinachotuumika kutafsiri mawimbi ya sumakuumeme kuwa mawimbi ya picha na sauti uitwa?
  1. Antenna
  2. Dishi
  3. Kisimbuzi
  4. Plagi.
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256