MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
SAYANSI DARASA LA NNE
MAJARIBIO YA KISAYANSI
Chagua Jibu Sahihi
1. Maelezo au taarifa za uchunguzaji huitwa . . . . . . . .
2.Nini maana ya dhanio katika utafiti wa kisayansi?
3.Mojawapo ya hatua za kufuata unapoandaa jaribio la kisayansi ni:
4. Hatua ya kwanza ya utafiti wa kisayansi ni
5. Hatua ya tatu ya utafiti wa kisayansi ni .........
6. Matokeo ya jaribio yanaweza kuwa mojawapo ya yafuatayo:
7. Katika uchunguzi wa kisayansi hatua ipi hutumika kukubali au kukataa dhanio?
8. Ipi kati ya yafuatayo hutumika kutabiri kuhusu tatizo katika uchunguzi wa kisayansi?
9. Ni hatua gani muhimu utachukua baada ya kubaini tatizo katika jamii?
10. Upi ni mpangilio sahihi wa kuandika ripoti ya jaribio la kisayansi?
Andika NDIYO kwa sentensi sahihi na HAPANA kwa sentensi isiyo sahihi.