MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA NNE

HUDUMA YA KWANZA

Chagua Jibu Sahihi

1. Huduma ya kwanza hutolewa .......

  1.  kwenye zahanati
  2.  ajali inapotokea
  3. kabla ya ajali kutokea
  4. na wataalamu wa afya
Choose Answer


2. Kifaa cha kupima uzito hujulikana kama

  1. themometa
  2. kapani
  3. rula
  4. silinda kipimio
Choose Answer



3. Zifuatazo ni njia za kumsaidia mtu aliyezirai isipokuwa ... ... ...

  1. Mweke mgonjwa katika sehemu salama yenye hewa ya kutosha.
  2. Inua miguu ya mgonjwa kuruhusu damu iende kichwani.
  3. Mvue viatu na kulegeza mkanda wake
  4. Kama hapumui umwagie maji ya baridi mwili mzima.
Choose Answer


4. Kipi kati ya hizi hakipatikani katika kisanduku cha huduma ya kwanza?

  1. Dawa za maumivu
  2. Maji
  3. Dawa za kuchua
  4. Bandeji
Choose Answer


5. Zifuatazo ni faida za huduma ya kwanza isipokuwa?

  1. Kuokoa Maisha
  2. Kupunguza maumivu
  3. Kuponya mgonjwa
  4. Kumpa mgonjwa Faraja
Choose Answer


6. kipi hakipaswi kufanyiwa mtu aliyezirai?

  1. Kumpepea hewa
  2. Kumlaza chini
  3. Kuvua viatu na nguo nzito
  4. Kumpa kinjwaji
Choose Answer


7. Kuzirai kunasababishwa na nini?

  1. Ukosefu wa usingizi
  2. Kuchoka
  3. Damu nyingi
  4. Kukosekana damu kwenye ubongo
Choose Answer


8. mtu aliyezirai anahitaji kupata?

  1. Hewa
  2. Maji
  3. Chakula
  4. starehe
Choose Answer


Andika NDIYO kwa sentensi sahihi na HAPANA kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Ukimwona mtu yeyote anapumua harakaharaka ujue anakaribia kuzirai………………
  2. View Answer


  3. Tusiwe na tabia za kuwashitua wenzetu maana wanaweza kuzirai……………..
  4. View Answer


  5. Mtu ambaye si mwoga hawezi kupatwa na tatizo la kuzirai…………..
  6. View Answer


  7. Mtu aliyezirai anaweza kupatwa na tatizo la kushindwa kupumua…………
  8. View Answer


  9. Kutokwa na damu nyingi huweza kusababisha kuzirai………….
  10. View Answer


  11. Kuna sababu moja tu inayoweza kiumsababishia mtu kuzirai………..
  12. View Answer


  13. Tunashauriwa kumzunguka mtu aliyezirai ilia pate hewa ya kutosha…………
  14. View Answer


  15. Tunashauriwa kumfunika kwa blanketi mtu aliyezirai ili asipate baridi………….
  16. View Answer


  17. Kufungua milango na madirisha huweza kumsaidia mtu aliyezirai akiwa ndani………….
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256