MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA NNE

MAZINGIRA

Chagua Jibu Sahihi

1. Ni muhimu kusafisha mazingira ili ........

  1. kuzuia mmomonyoko wa udongo
  2. kuruhusu mimea iongezeke
  3. kulinda afya na hewa safi
  4. kuleta magonjwa na harufu mbaya
Choose Answer


  1. Ni ugonjwa upi hausababishwi na uchafuzi wa mazingira?
  1. Kipindipindu
  2. Malaria
  3. Homa ya tumbo
  4. Kifua kikuu
Choose Answer


  1. Maji yaliochafuliwa yanaweza kusababisha
  1. Kichocho
  2. Kipindupindu
  3. Saratani
  4. Vyote hapo juu
Choose Answer


  1. Shughuli zifuatazo zinachangia uchafuzi wa maji isipokuwa:
  1. Kulima kando ya mito
  2. Kuoga na kufua kando ya mto
  3. Kujisaidia karibu na vyanzo vya maji
  4. Kuchota maji mtoni
Choose Answer


  1. Shughuli za kibinadamu zinazochangia uchafuzi wa hewa ni Pamoja na:
  1. Ukulima
  2. Moshi wa viwandani
  3. Ufugaji
  4. Umwagiliaji
Choose Answer


  1. Tunaweza kutunza mazingira kwa kufanya yafuatayo?
  1. Kutupa taka ovyo
  2. Kupanda miti na bustani
  3. Kufuga wanyama wengi
  4. Kulima kando ya vyanzo vya maji
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256