MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A SITA

KUSIMAMIA MAJUKUMU

MADA YA TISA 

Chagua jibu sahihi

1. Matumizi ya ofisi ya umma kwa manufaa binafsi huitwa.................

     takrima 
  1.  rushwa
  2. uzalendo
  3.  ubinafsi 
  4.  ujasiriamali
Choose Answer


2. Mojawapo ya njia ambazo wananchi wanaweza kushiriki katika ulinzi na usalama ni...............

     kupiga wahalifu 
  1.  kufanya mazoezi ya viungo
  2.  kuwaua wahalifu 
  3.  kuwafichua wahalifu
  4.  kuwa rafiki na wahalifu
Choose Answer


3. Familia ya ndugu na jamaa inakaribia kufanana na kundi la jamii inayojulikana kama: 

     kabila 
  1.  jamii 
  2.  ukoo 
  3.  jirani 
  4.  kijiji
Choose Answer


4. Ukoo ni muungano wa:

    familia zinazokaa karibu 
  1. familia nyingi zenye asili moja
  2. familia nyingi zilizo rafiki 
  3. baba, mama na watoto.
  4. familia zilizoungana kufanya kazi pamoja.
Choose Answer


5. Usalama wa mali ya shule unaweza kuimarishwa kwa:

    kuzuia wageni kuingia katika eneo la shule.
  1. kushirikisha Jeshi la Wananchi la Tanzania.
  2. kuepuka mahusiano ya karibu na jamii inayozunguka shule.
  3. kuwekea bima mali ya shule dhidi ya wizi.
  4. kujenga uzio kuzunguka shule.
Choose Answer


6. Baba, mama na watoto kwa pamoja huunda:

    ukoo.
  1. familia pana 
  2. jamii 
  3. familia 
  4. jumuiya
Choose Answer



 7. Kitendo cha kuvunja sheria hujulikana kama:

  1. Kesi 
  2. Mgogoro
  3. Uhalifu 
  4. Kichwa
Choose Answer


8. Uhuru, haki na udugu ni misingi ya nini?

    Demokrasia
  1. Azimio la Arusha
  2. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  3. Utawala wa sheria
  4. Mfumo wa siasa ya vyama vingi nchini
Choose Answer


9.  Kati ya mambo yafuatayo lipi siyo haki ya raia wa Tanzania?

    kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu katika umri wowote
  1. kuishi popote pale ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
  2. Uhuru wa kuabudu 
  3. kupata ulinzi
  4. Uhuru wa kujieleza
Choose Answer


10.  Majukumu makuu ya kiongozi wa familia ni yapi?

    kuwapatia wanafamilia mahitaji ya msingi
  1. kupeleka watoto shule
  2. kuwasaidia ndugu, jamaa na marafiki
  3. kufanya kazi kwa bidii 
  4. kurekebisha tabia za wanafamilia
Choose Answer


Andika KWELI kwa sentensi iliyo sahihi na SI KWELI kwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Ushirikiano wa makundirika katika kutekeleza shughuli za maendeleo ni jambo muhimu katika jamii............
  2. View Answer


  3. Kamati ya shule inawajibika kushughulikia changamoto ya ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu katika shule husika................
  4. View Answer


  5. Mtendaji mkuu katika kamati ya shule ni mwalimu mkuu...............
  6. View Answer


  7. Rushwa ni adui wa haki..........
  8. View Answer


  9. Taarifa za rushwa huweza kutolewa kwa njia ya simu, mabango,barua au televisheni...............
  10. View Answer


  11. Madhara ya kutowashirikisha watu wengine katika kutoa uamuzi ni kuwafanya watu wagawanyike katika makundi na kufanya morali ya kazi kupungua....................
  12. View Answer


  13. Lugha inayotakiwa kuunganisha watu katika kutekeleza majukumu yao ni ile yenye staha na yenye kuwaunganisha watu..............
  14. View Answer


  15. Ukweli wa jambo hubainika kwa kuskiliza upande mmoja............
  16. View Answer


  17. Wajibu wa watoto katika familia ni kusoma tu...............
  18. View Answer


  19. Baba na mama ni viongozi wenye hadhi sawa katika familia.............
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256