MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA SABA

TABIANCHI YA TANZANIA

MADA YA TANO

Chagua Jibu Sahii

  1. Tabianchi ya Tanzania in ya
  1. Meditereniani
  2. Kitropiki
  3. Kipupwe
  4. Milima na mabonde
Choose Answer


  1. Kati ya maeneo haya, ni gani lina hali ya joto na unyevunyevu
  1. Singida
  2. Simiyu
  3. Mtwara
  4. Mwanza
Choose Answer


  1. Ni ukanda upi wa Tanzania ulio na tabia ya nusu Jangwa?
  1. Ukanda wa ziwa
  2. Ukanda wa pwani
  3. Ukanda wa kati
  4. Ukanda wa nyanda za juu
Choose Answer


  1. Ni mkoa gani ya hizi haupati zao la pamba?
  1. Kilimanjaro
  2. Simiyu
  3. Kigoma
  4. Kagera
Choose Answer


  1. Kahawa inauwezo wa kuzaa kwa miaka takribani;
  1. 20
  2. 10
  3. 40
  4. 30
Choose Answer


  1. Usitawi wa zao la muhogo unahitaji udongo upi?
  1. Kichanga
  2. Udongo wenye unyevu
  3. Mfinyanzi
  4. Udongo wenye mboji
Choose Answer


7. Kuna makundi mangapi ya uoto wa asili?

  1.  Matatu 
  2.  Manne 
  3.  Mawili 
  4.  Matano 
  5.  Sita
Choose Answer


8. Tanzania ipo kusini mwa

  1. lkweta 
  2. Tropiki ya kaprikoni
  3. Greenwich 
  4. Ncha ya kaskazini
  5. Muhimili wa dunia
Choose Answer


9. Yafuatayo ni mambo yalisababishwa na uharibifu wa uoto isipokuwa:

  1. Kimbunga na tufani
  2. upungufu wa maji na nusu jangwa
  3. mmomonyoko wa udongo na kupotea kwa viumbe hai
  4. njaa na mifugo mingi kufa
  5. Uchimbaji madini na utengenezaji barabara
Choose Answer


10. Bainisha njia sahihi ya kuzuia athari za mazingira zinazotokana na kilimo:

  1. Kulima kilimo cha zao moja.
  2. Kulima kwenye vyanzo vya maji.
  3. Kilimo cha kuhamahama.
  4. Kukata miti kandokando ya shamba.
  5. Kutumia mbolea ya asili.
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256