MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA
MAARIFA YA JAMII DARASA LA SABA
SHUGHULIZA KIUCHUMI AFRIKA MASHARIKI
Chagua Jibu Sahihi
1.Uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania ni:
- kilimo
- ujasiriamali
- biashara
- utandawazi
- madini
Choose Answer
2.Watu wanaoishi kandokando mwa bahari na maziwa hujihusisha na shughuli za:
- kilimo
- uvuvi
- uvunaji magogo
- ufugaji
- usafirishaji
Choose Answer
3.Mbuga za wanyama zinazopatikana Tanzania ni:
- Serengeti, Ruaha na Mikumi
- Tarangire, Katavi na Ngorongoro
- Serengeti, Manyara na Ngorongoro
- Selous, Serengeti na Mikumi
- Mkomazi, Selous na Ngorongoro
Choose Answer
4.Uvuvi usio endeleevu waweza kusababisha yafuatayo kasoro:
- vifo vya watu
- vifo vya samaki
- uchafuzi wa maji
- umaskini
- utajiri
Choose Answer
5. Mikoa mitatu ya Tanzania ambako zao hili hulimwa kwa wingi ni:
- Arusha, Dodoma na Kilimanjaro
- Tanga, Morogoro na Kilimanjaro
- Iringa, Mbeya na Rukwa
- Dodoma, Rukwa na Tabora
- Mwanza, Kagera na Kilimanjaro
Choose Answer
6. Nchi zinazovuna maji ya mvua na kuyatumia kuongeza maji kwenye udongo ni:
- Marekani na India
- Tanzania na India
- India na Kenya
- Kenya na Uganda
- China na Marekani
Choose Answer
7.Biashara ya ndani ni ile inayohusisha bidhaa ...
- zinazotengenezwa nje ya nchi.
- zinazotengenezwa na kuuzwa ndani ya nchi.
- zinazozalishwa ndani ya nchi.
- zinazotengenezwa na kuuzwa nje ya nchi.
- zinazouzwa nje ya nchi.
Choose Answer
8.Zao la mkonge hulimwa katika mikoa ipi Tanzania? ....... .
- Tanga na Mbeya.
- Morogoro na Pwani.
- Morogoro na Tanga.
- Kilimanjaro na Manyara.
- Mtwara na Singida
Choose Answer
9.Mgawanyo wa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki na kuunda tawi la Mashariki na Magharibi umeanzia Ziwa .........
- Victoria.
- Tanganyika.
- Natroni.
- Nyasa.
- Manyara.
Choose Answer
10.Ni maziwa yapi yanapatikana katika Bonde la Ufa la upande wa Mashariki?
- Turkana, Rukwa na Kyoga.
- Nyasa, Victoria na Eyasi.
- Turkana, Natroni na Eyasi
- Victoria, Eyasi na Kyoga.
- Albert, Edward na Kivu
Choose Answer
Andika KWELI kwa sentensi ya kweli na SI KWELI kwa sentensi isiyo ya kweli.
- Mazao ya chakula kwa yanalimwa ajili ya chakula tu........................
View Answer
- Kahawa, pamba, na karafuu ni baadhi ya mazao ya biashara.................
View Answer
- Uchimbaji madini hunufaisha familia za wachimbaji tu Afrika Mashariki
View Answer
- Kuongezeka kwa pato la taifa ni moja ya faida ya shughuliza kiuchumi.............