MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA TANO

KANI KATIKA MAADA

  1. Kani za mvutano kati ya molekyuli za maada huwa ni ndogo sana katika:
  1. Chumaa
  2. Maji
  3. Hewa
  4. jiwe
Choose Answer


  1. Kitu kipi kati ya hivi vifuatavyo kina umbo maalumu?
  1. Soda
  2. Karatasi
  3. Gesi
  4. maji
Choose Answer


3. Maada huundwa na chembechembe ndogo zinazojulikana kama

  1.  kizio 
  2.  ambatani
  3.  elementi
  4.  atomu 
  5.  molekuli
Choose Answer


4. Maji huganda katika nyuzijoto

  1. 100 oC
  2. 36 oC
  3. oC
  4. 36.9 oC
Choose Answer


5. Joto husambaa katika kimiminika kwa njia ya . . . . . . 

  1. msafara
  2. mpitisho
  3. mnururusho
  4. mgandamizo
Choose Answer


6. Badiliko la maada lisilokuwa na tofauti katika uzito linaitwaje?

  1. Kikemikali 
  2. Kiugumu
  3. Kiumbo 
  4. Kiurefu
Choose Answer



7. Maada inapatikana katika hail zifuatazo:

  1. Vimiminika, maji na gesi 
  2. Yabisi, vimiminika na hewa
  3. Yabisi, vimiminika na gesi 
  4. Mawe, yabisi na gesi
  5. Yabisi, hewa na gesi.
Choose Answer



8. Maji magumu aushi yanaweza kubadilishwa kuwa maji laini kwa

  1. kuyachemsha
  2. kuyachuja 
  3. kuyatonesha
  4. kuyagandisha 
  5. kuyapasha joto
Choose Answer


9. Mbinu rahisi ya kujua ukubwa wa vitu visivyo na maumbo halisi ni kutumia kitu chenyewe, kopo la eureka:

  1. flaski ya mviringo na maji 
  2. maji na chupa
  3. glasi na maji 
  4. silinda ya kupimia maji
  5. mizani na maji
Choose Answer



10. Ni mabadiliko gani yatatokea kama mtu akipumulia kwenye uso wa kioo?

  1. Kuganda 
  2. Kuyeyuka 
  3. Kuvukishwa
  4. Matonesho 
  5. Kutanuka
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256