MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA TANO

SUMAKU

  1. Chagua jibu sahihi katika maswali yafuatayo:
  1. Sumaku zinawekwa katika milango ya majokofu na baadhi ya makabati ili…………..
  1. Kufukuza joto
  2. Kufanya eneo la ndani liwe na joto
  3. Kufanya milango ibane vizuri
  4. Kuondoa asili ya chumu
Choose Answer


  1. Sumaku imeundwa kwa……………..
  1. Chuma
  2. Mbao
  3. Kioo
  4. Chuma na kioo
Choose Answer


  1. Sumaku ikining’inizwa hewani……………
  1. Ncha yake ya KAS huelekea Kaskazini
  2. Ncha yake ya KAS huelekea Kusini
  3. Ncha za Kas na KUS hukosa mwelekeo
  4. Huzunguka wakati wote
Choose Answer


  1. Ukidondosha wembe ndani ya pipa lenye maji, njia bora ya kuchukua wembe ni………….
  1. Kujitosa ndani ya pipa
  2. Kuingiza sumaku iliyofungwa kwenye Kamba ndefu
  3. Kutoboa pipa
  4. Kuhamisha maji
Choose Answer


v. nini kitatokea ukiweka ncha za sumaku zinazofana?

  1. Zitavutana
  2. Zitakwepana
  3. Zitaachana
  4. Hakuna kitakachotokea
Choose Answer


vi. yapi siyo matumizi ya sumaku?

  1. Kutengeneza viatu
  2. Kuzalisha umeme
  3. Kuendesha gari
  4. Kutengeneza vitu
Choose Answer


vii. kifaa kinachotumika kuongoza watu kutambua pande za dunia huitwa

  1. Sumaku
  2. Dainamo
  3. Kengele
  4. Dira
Choose Answer


viii.  kifaa kinachotumika kuzalisha umeme kwenye baiskeli kinaitwa?

  1. Dira
  2. Dainamo
  3. Uga
  4. Gurudumu
Choose Answer


ix.  ni sentensi gani sio sahihi?

  1. Ncha ya KAS ya sumaku uelekea upande wa kusini mwa dunia
  2. Kani ya sumaku ni kubwa kwenye ncha zake
  3. Kani za sumaku mbili zilizofanana huvutana
  4. Kani ya sumaku inaweza kupenya kwenye maji
Choose Answer


x. ipi sio njia sahihi ya kutunza sumaku?

  1. Weka sumaku karibu na umeme kutunza ubora wake
  2. Usigonge gonge sumaku
  3. Weka sumaku katika kitunza sumaku
  4. Usichome sumaku katika moto
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256