MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA TANO

NISHATI YA MWANGA

Chagua jibu sahihi

  1. Ipi siyo sifa ya twasira katika kioo bapa?
  1. Twaswira huwa wima
  2. Utokea nyuma ya kioo
  3. Ukubwa wa taswira ni mdogo zaidi ya ukubwa wa kiolwa
Choose Answer


  1. Kioo bapa kinatumika katika saluni kwa sababu
  1. Hutoa picha kubwa
  2. Hutoa taswira pacha
  3. Huzalisha taswira nyingi
  4. Hutoa taswira safi
Choose Answer


  1. Kifaa kinachotumika kuangalia vitu kwenye vizuizi huitwa?
  1. Periskopu
  2. Dira
  3. Teleskopu
  4. Makroskopu
Choose Answer


  1. Ipi sio sifa ya taswira ya kioo mbinuko?
  1. Taswira ni kubwa ukilinganisha na kiolwa
  2. Hutokea ikiwa wima
  3. Hutokea nyuma ya kioo mbinuko
  4. Ni kubwa ukilinganisha na kiolwa
Choose Answer


  1. Moja ya hasara ya taswira ya kioo mbinuko ni;
  1. Taswira huwa kubwa
  2. Kinafaa kutumika katika kunyolea watu
  3. Taswira inakosa umbo lililo halisi
  4. Taswira yake huwa wima
Choose Answer


  1. Kioo kinachofaa katika shughuli za ulinzi madukani na majengo makubwa ni
  1. Kioo mbonyeo
  2. Kioo bapa
  3. Kioo mbinuko
  4. Lenzi
Choose Answer


  1. Lenzi inayokusanya miale ya mwanga huitwa;
  1. Lenzi bapa
  2. Lenzi mbinuko
  3. Lenzi mbonyeo
  4. Lenzi wima
Choose Answer


  1. Yapi ni matumizi ya lenzi mbonyeo?
  1. Kutengeneza vioo vya gari
  2. Kutengeneza taa
  3. Kutengeneza miwani ya watu wasioona mbali
  4. Kutengeneza kamera
Choose Answer


  1. Yapi sio matumizi ya lenzi mbinuko?
  1. Matumizi katika kamera
  2. Kutengeneza hadubini
  3. Kukuza umbo la vitu vilivyo mbali
  4. Kutengeneza vifaa vya darubini
Choose Answer


  1. Nukta ambayo miale mtuo ya mwanga hukutana baada ya kuakisiwa huitwa?
  1. kiolwa
  2. Lenzi
  3. Taswira
  4. fokasi
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256