1.Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuataz...

    joto na unyevu
  1. unyevu na mwanga
  2. upepo na mwanga wa jua
  3. mawingu na upepo
  4. unyevu na upepo
Choose Answer


2. Kukosekana kwa chanikiwiti katika mmea huweza kusababisha:

    mmea kukosa madini joto
  1. mmea kushindwa kusanisi chakula
  2. majani ya mmea kukauka
  3. majani ya mmea kuwa njano
  4. maj ani ya mmea kupukutika.
Choose Answer


3. Tendo Ia mimea kusafirisha maji kutoka kwenye mizizi hadi kwenye majani huitwa:

    osmosis
  1. difyusheni
  2. msukumo
  3. mgandamizo
  4. mjongeo
Choose Answer


4. Ni Vipi kati ya viumbe hai vifuatavyo hujitengenezea chakula chao kwa kutumia klorofili?

    Wadudu
  1. Mimea
  2. Wanyama
  3. Virusi
  4. Ndege
Choose Answer


5. Ipi kati ya zifuatazo siyo kazi ya mizizi katika mimea?..............

    Kusharabu madini ya chumvi.
  1. Kusharabu maji
  2. kushikilia mmea
  3. Kutengeneza chakula cha mmea
  4. Kutunza chakula cha mmea
Choose Answer


6. Gesi ipi hupunguzwa angani na mimea?..................

    Kabondioksaidi
  1. Oksijeni
  2. Haidrojeni
  3. Kabonimonoksaidi
  4. Naitrojeni
Choose Answer


7. Ni mmea gani ya hizi hauifadhi chakula katika shina?

    Miwa
  1. Magimbi
  2. Viazi
  3. Karoti
  4. Tangawizi..
Choose Answer


8. Katika jani, umbijani hupatikana kwa wingi wapi?

    Epidamisi ya juu
  1. Epidamisi ya chini
  2. Seli linzi
  3. Stomata
  4. Selisafu za kati
Choose Answer


9. Ni sehemu gani ya jani yenye seli zenye kloroplasti?

    Kikonyo
  1. Lamina
  2. Kingo
  3. Kishipajani
  4. Vena kuu
Choose Answer


10. Usanishaji chakula hufanyika katika sehemu gani kuu ya mimea?

    Mizizi
  1. Majani
  2. Shina
  3. Ua
  4. Jani
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256