MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA TANO

UTOAJI TAKAMWILI

Chagua jibu lililo sahihi

  1. Vitundu vya kupitisha jasho hupatikana kwenye sehemu gani ya Ngozi?
  1. Sehemu ya nje na ya ndani.
  2. Sehemu ya ndani.
  3. Sehemu ya nje.
  4. Kwenye mishipa
Choose Answer


  1. Aina za takamwili zinazotolewa na Ngozi ni
  1. Maji ya ziada, chumvichumvi na yurea
  2. Kabonidayoksaidi, sumu na chumvichumvi
  3. Kemikali, sumu na kabonidayoksaidi
  4. Oksijeni, maji, sumu
Choose Answer


  1. Mishipa ya damu, neva za fahamu una tezijasho hupatikana kwenye sehemu gani ya Ngozi?
  1. Sehemu ya ndani
  2. Sehemu ya nje
  3. Sehemu ya ndani na nje
  4. Sehemu zote za ngozi
Choose Answer


  1. Kazi ya tezijasho ni
  1. Kutengeneza maji
  2. Kutengeneza jasho
  3. Kutoa damu mwilini
  4. Kusafisha damu
Choose Answer


  1. Athari za joto kwenye utoaji takamwili kwa njia ya Ngozi ni
  1. Kufanya vitundu vya jasho kutanuka na kutoa jasho kwa wingi
  2. Kufanya vitundu vya jasho kusinyaa na kutoa jasho kwa wingi
  3. Kufanya vitundu vya jasho kutanuka na kutoa jasho kidogo
  4. Kupiteza fahamu
Choose Answer


  1. Mfumo wa utoaji takamwili unajumuisha ogani kuu nne ambazo ni
  1. Figo, ini, Ngozi na mapafu
  2. Figo, ulimi, Ngozi na mapafu
  3. Ini, utumbo mpana, Ngozi na mapafu
  4. Ini, ngozi, moyo
Choose Answer


  1. Seli nyekundu za damu zilizokufa hutolewa mwilini kupitia
  1. Mkojo
  2. Jasho
  3. Kinyesi
  4. hewa
Choose Answer


  1. Matumizi ya dawa bila kufuata maelekezo na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya
  1. Husaidia mwili kufanya kazi kwa ufanisi
  2. Husababisha madhara mwilini
  3. Hutibu magonjwa yote mwilini
  4. Huongeza maisha
Choose Answer


  1. Kutozingatia usafi wa mwili na mazingira husababisha
  1. Madhara kwenye mmeng’enyo wa chakula
  2. Madhara kwenye figo
  3. Madhara kwenye Ngozi
  4. Madhara kwenye moyo
Choose Answer


  1. Ni kiungo gani kinatumiwa kuondoa sumu mwilini?
  1. Ngozi
  2. Ini
  3. Mapavu
  4. Figo.
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256