MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA TANO

VIRUSI VYA UKIMWI NA UKIMWI

Chagua jibu sahihi katika maswali yafuatayo:

  1. Ufuasi wa dawa za “ARV” maana yake ni…………..
  1. Kuuza dawa za “ARV” kwa usahihi
  2. Kutumia dawa za “ARV” kwa usahihi
  3. Kutumia dawa za “ARV” mgonjwa anapojiskia vibaya
  4. Kutotumia dawa za “ARV”
Choose Answer


  1. Kazi kubwa za “ARV” ni……………
  1. Kufubaza VVU
  2. Kuua kabiza VVU
  3. Kuongeza VVU
  4. Kumaliza VVU
Choose Answer


  1. Yafuatayo ni magonjwa nyemelezi isipokuwa………….
  1. Homa za mara kwa mara
  2. Pumu
  3. Fangasi
  4. Kuharisha
Choose Answer


  1. Kirefu cha neno “ARV” ni
  1. Anti-Virus-Retro
  2. Anti-Retro Virus
  3. Anti-Virus
  4. Akuna virusi
Choose Answer


  1. Mtu anayeishi na VVU hutumia dawa
  1. Kwa miezi 6 mfululizo
  2. Kila anapohisi maumivu
  3. Kwa Maisha yake yote
  4. Kwa miaka miwili
Choose Answer


  1. Moja ya faida ya kutumia “ARV” ni
  1. Kurudisha na kuongeza kinga mwilini
  2. Kuweza kuongeza usugu wa virusi
  3. Kuongeza kasi ya kuzaliana kwa VVU mwilini
  4. Kuangamiza virusi
Choose Answer


  1. Ipi kati ya hizi sio njia ya kuambukiza VVU?
  1. Kukumbatiana
  2. Kufanya ngono bila kinga
  3. Kuekewa damu yenye virusi
  4. Kutumia vifaa vya kukata vilivyotumiwa na mtu mwenye virusi
Choose Answer


  1.                Ni kundi gani lipo katika hatari kubwa ya kupata VVU?
  1. Wahudumu wa afya
  2. Wanauza baa
  3. Wanaojiuza(makahaba)
  4. Wanafunzi
Choose Answer


  1. Njia moja wapo ya kuwajali wenye virusi vya ukimwi ni pamoja na;
  1. Kuwaheshimu
  2. Kuwasalimia
  3. Kutowabagua wala kuwanyanyapaa
  4. Kuwatenga
Choose Answer


  1. Mgonjwa wa UKIMWI anapaswa kufanya yafuatayo isipokuwa;
  1. Kufanya mazoezi
  2. Kula mlo kamili
  3. Kunywa pombe kupunguza mawazo
  4. Kuzingatia matumizi ya dawa
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256