MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA TANO

HUDUMA YA KWANZA

Chagua jibu lililo sahihi

  1. Wakati unatoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto hairuhusiwi kupaka…………..kwenye jeraha.
    Maji
  1. Mafuta
  2. Asali
  3. Dawa
Choose Answer


  1. Kipi kati ya vimiminika vifuatavyo kianaweza kusababisha ajali ya kuungua moto?
    Uji wa moto
  1. Juisi
  2. Asali
  3. Soda
Choose Answer


  1. Mtu aliyeungua moto hupewa huduma ya kwanza kabla ya kupelekwa……………
    Nyumbani
  1. Shule
  2. Kulala
  3. Hospitalini
Choose Answer


  1. Ipi sio faida ya huduma ya kwanza
    Kupunguza maumivu
  1. Kuponya mgonjwa
  2. Kuokoa Maisha
  3. Kumpa mgonjwa matumaini
View Answer


  1. Kipi akipaswi kufanyiwa mtu aliyeungua moto?
    Kumwagilia maji
  1. Kumtoa kwenye chanzo cha moto
  2. Kumfunika na blanketi kama nguo zimeshika moto
  3. Kumpatia huduma ya kwanza
Choose Answer


  1. Mtu mwenye majeraha madogo madogo ya moto anapaswa
    Kuweka barafu juu ya jeraha
  1. Kupasua malengelenge yanayotokea
  2. Kupaka mafuta
  3. Kuhakikisha eneo lipo lisafi na salama
Choose Answer


  1. Tunapaswa kuchukua tahadhari hii tunaposaidia mtu aliyengua na moto isipokuwa;
    Kutokuondoa kipande chochote cha Ngozi kinacho ng’ang’ania
  1. Kumpatia vyakula vya maji
  2. Ondoa kitu chochote kilichoshikana na kugandana na Ngozi
  3. Usitoboe malengelenge
Choose Answer


  1. Kipi hakipaswi kufanyiwa mtu aliyeungua kwa kimiminika cha moto?
    Ondoa nguo zilizoloa maji
  1. Mimina maji baridi kwenye jeraha ili kupunguza joto
  2. Mpake mafuta mengi mwilini
  3. Usitoboe malengelenge
Choose Answer


  1. Kipi kati ya haya hakisababishi ajali ya moto?
    Matumizi mabovu ya jiko la gesi
  1. Kutofunga bomba la maji
  2. Umeme
  3. Jiko la mkaa
Choose Answer


  1. Kipi sio kifaa cha kutumika kuzima moto?
    Blanketi
  1. Maji
  2. Majani ya miti
  3. Udongo mkavu
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256