MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA TANO

AFYA NA USAFI WA MWILI

Chagua jibu lililo sahihi.

  1. Kukimbia mchakachaka na kufanya mazoezi asubuhi husaidia
  1. Kuwa wasafi Zaidi
  2. Kuwa na utayari wa kujifunza kwa ufanisi darasani
  3. Kuingia darasani haraka kwa kufuata msitari
Choose Answer


  1. Tunafanya mazoezi na kucheza ili…………..
  1. Tuwafurahishe walimu
  2. Tuendelee kusoma
  3. Tuimarishe afya ya mwili
Choose Answer


  1. Tunapaswa kuoga;
  1. Mara mbili kwa siku
  2. Mara moja kwa siku
  3. Mara moja kwa wiki
  4. Mara mbili kwa wiki
Choose Answer


  1. Kutokuoga kunaweza kukasababisha;
  1. Ugonjwa ngozi
  2. Homa
  3. Minyoo
  4. Kuharisha
Choose Answer


  1. Maji katika chakula husaidia;
  1. Kutoa uchafu
  2. Mmeng’enyo wa chakula
  3. Kusafisha damu
  4. Kuondoa uchafu
Choose Answer


  1. Ipi sio kanuni ya usafi?
  1. Lishe bora
  2. Usafi wa mwili
  3. Mazoezi
  4. Kulewa
Choose Answer


  1. Kazi ya mafuta mwilini ni;
  1. Kuleta nguvu na joto
  2. Kulinda mwili
  3. Kujenga mwili
  4. Kujenga mifupa
Choose Answer


  1. Tabia ipi inaadhiri afya ya mwili?
  1. Kutupa taka ovyo
  2. Kuoga
  3. Kufanya mazoezi
  4. Kufyeka nyasi
Choose Answer


  1. Ipi sio njia sahihi ya kupumzika?
  1. Kuangalia runinga
  2. Kusoma vitabu
  3. Kucheza kamari
  4. Kusikiliza redio
Choose Answer


  1. Ni mdudu yupi husambaza malaria?
  1. Viroboto
  2. Nzi
  3. Mbu
  4. kunguni
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256