MTIHANI WA MWISHO WA MADA

MADA: UZALISHAJI MALI

Chagua Jibu Sahihi

1. Mikoa inayolima zao la ndizi Tanzania ni:

  1. Kagera, Kilimanjaro na Mbeya
  2. Mbeya, Kagera na Lindi
  3. Kagera, Singida na Shinyanga
  4. Arusha, Morogoro na Shinyanga
  5. Singida, Lindi na Kagera
Choose Answer


2. Ranchi ni eno lililotengwa kwa:

  1. kilimo cha mazao
  2. machinjio ya ngombe
  3. ufugaji wa ngombe
  4. josho la ngombe
  5. kuotesha majani
Choose Answer


3. Nini maana ya biashara ya rejareja?

  1. Kuuza bidhaa kidogo kidogo
  2. Kingiza bidhaa za kutoka nje
  3. Kuuza bidha ya aina moja tu.
  4. Kuuza bidhaa bila kuwa mwangalifu.
  5. Kuuza bidha za vitu vinavyotumika majumbani
Choose Answer


4. Zao kuu la biashara linalolimwa wilaya ya mbinga mkoani Ruvuma ni

  1. Korosho
  2. Karafuu
  3. Chai
  4. Kahawa
  5. Pamba
Choose Answer


5. Moja ya matatizo yanayovikabili viwanda na biashara Tanzania ni

  1. uhaba wa wateja wa bidhaa zinazozalishwa
  2. upungufu wa gharama kubwa ya nishati
  3. uhaba wa wafanyabiashara
  4. hall mbaya ya hewa
  5. uhaba wa wafanyakazi.
Choose Answer


6. Ardhi, misitu, mito, bahari na madini kwa ujumla tunaviita

  1. bidhaa muhimu
  2. Dunia
  3. uoto wa asili
  4. maliasili
  5. mahitaji muhimu
Choose Answer


7.Gesi asilia hupatikana katika eneo lipi kati ya yafuatayo?

  1. Kilwa.
  2. Madaba.
  3. Songosongo.
  4. Mchinga.
  5. Somanga
Choose Answer


8. Mazao ya biashara yanayouzwa kwa wingi nchi za nje kutoka Tanzania ni:

  1. Mpira, Kahawa na Mkonge.
  2. Alizeti, Nyonyo na Ufuta.
  3. Pamba, Pareto na Mkonge.
  4. Kahawa, Pamba na Korosho.
  5. Kahawa, Mkonge na Karafuu.
Choose Answer



9. Zao linalotumika kutengeneza sigara ni:

  1. kahawa.
  2. karafuu.
  3. chaff.
  4. tumbaku.
  5. pareto.
Choose Answer


10. Kupungua kwa kasi kwa misitu hapa Tanzania kunasababishwa na:

  1. joto kali la kiangazi
  2. ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa, kilimo na kuni
  3. serikali kutokuwa na sera ya upandaji miti
  4. kufyeka misitu ili kufukuza wanyama wakali
  5. mvua kubwa zinazosababisha mafuriko
Choose Answer


Andikandiyokwa sentensi sahihi nahapanakwa sentensi isiyo sahihi.

  1. Kilimo katika Tanzania hufanywa na wakulima wadogowadogo tu......
  2. View Answer


  3. Kokoro hupunguza kiasi cha samaki baharini..........
  4. View Answer


  5. Shughuli ya uchongaji vinyago huvutia watalii...........
  6. View Answer


  7. Shamba la Kapunga ni kwa ajili ya kilimo cha mtama............
  8. View Answer


  9. Shughuli ya uvuvi inahitaji maofisa ugani.........
  10. View Answer


  11. Aina mbili za mazao yanayolimwa na wawekezaji ni.............. na ............
  12. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256