SAYANSI 2011
Chagua jibu sahihi na andika herufi inayohusika mbele ya namba ya kila swali katika karatasi ya kujibia.
1. Kifaa kinachotumika katika kuangalia sell za viumbehai huitwa:
- Darubini
- Periskopu
- Hadubini
- Kamera
- Horoskopu
Chagua Jibu
2. Mlango wa fahamu unaotumika kutambua hali ya joto au baridi ni:
- ulimi
- sikio
- jicho
- pua
- ngozi
Chagua Jibu
3. Ni yupi kati ya wafuatao ni mamalia?
- Njiwa
- Kuku
- Bata
- Popo
- Nyoka.
Chagua Jibu
4. Kielelezo Na. 1 kinaonesha mbegu yenye ghala mbili.
Kielelezo Na. 1
Katika Kielelezo Na. 1 sehemu inayoota na kuwa mzizi imeoneshwa kwa herufi ipi? - H
- J
- K
- L
- M
Chagua Jibu
5. Kitu gani kitatokea endapo maua ya mmea wa mhindi yatanyofolewa?
- Mmea utastawi
- Mmea utakufa
- Mizizi ya mmea haitakua
- Majani yake yatageuka rangi
- Mmea hautazaa
Chagua Jibu
6. Muungano ufuatao ni muhimu kwenye utengenezaji wa kabohaidreti katika mimea:
- Oksijeni, klorofili na maji
- Kabondayoksaidi na maji
- Kabondayoksaidi, maji na mwanga wa jua
- Klorofili, maji na mwanga wa jua
- Klorofili, wanga na mwanga wa jua.
Chagua Jibu
7. Ni taka mwili zipi zitolewazo na mapafu?
- Oksijeni na maji
- Oksijeni na kabondayoksaidi
- Kabondayoksaidi na maji
- Kabondayoksaidi na chumvi
- Oksijeni na chumvi
Chagua Jibu
8. Kipi kati ya vifuatavyo husafirisha chavua kutoka katika stameni kwenda kwenye stigma?
- Watu
- Wadudu
- Maji
- Umande
- Staili
Chagua Jibu
9. Mtu asiyekula matunda na mboga za majani huweza kupata matatizo ya:
- kuugua mara kwa mara
- kupunguza uzito wa mwili
- kuongezeka kwa hamu ya kula nyama
- rangi ya ngozi huwa njano
- kuongezeka uzito wa mwili.
Chagua Jibu
10. Mtoto mwenye kwashakoo ni yule aliyekosa chakula chenye:
- vitamini
- mafuta
- madini
- wanga
- Protini

BOFYA HAPA KUPAKUA APP YA LEANING HUB
ILI KUFUNGUA MTIHANI MZIMA
Try Another Test |