STD VII MAARIFA_JAMII ONLINE SELF NECTA TEST FOR YEAR 2020
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
03 MAARIFA YA JAMII
Muda: Saa 1:30 Mwaka: 2020
Maelekezo
l . Karatasi hii ina sehemu A na B zenye jumla ya maswali arobaini na tano (45).
2. Jibu maswali yote katika kila sehemu.
3. Soma maelekezo yote yaliyoko katika romu maalumu ya kujibia (OMR).
4. Jaza taarifa zote katika (omu ya OMR na katika ukurasa wenye swali la 41 hadi 45.
5. Weka kivuli katika kila tarakimu ya Namba yako ya Mtihani kwenye nafasi husika katika fomu ya OMR.
6. Weka kivuli katika herufi ya jibu sahihi ksva swali la I hadi 40 katika fomu yako ya kujibia uliyopewa. K?va mfano, kama jibu sahihi ni A weka kivuli kama ifuatavyo:
7. Ukigundua kuwa herufi uliyoweka kivuli si jibu sahihi, futa kivuli hicho kwa umakini kwa kutumia kifutio safi kabla ya kuweka kivuli katika herufi mpya.
8. Tumia penseli ya HB tu katika kujibu swali la I hadi 40, na kalamu ya wino wa bluu au ?nweusi kujibu swali la 41 hadi 45.
9. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi ndani ya chumba cha mtihani.
SEHEMU A (Alama 40)
KIPENGELE 1: URAIA
Chagua jibu sahihi kisha weka kivuli kwenye herufi ya jibu lililo sahihi katika fomu maalum (OMR) ya kujibia uliyopewa.
1. Ni nani anahusika kumchagua mwenyekiti wa kjiji?
Wananchi wote katika kijiji
Wajumbe wa kamati za kijiji
Halmashauri ya kijiji
Baraza la madiwani
Wakuu sva idara za serikali katika kijiji
Chagua Jibu
2. Lipi kati ya yafuatayo ni jukumu la Baraza la Madiwani katika Manispaa?
Kukusanya kodi katika Manispaa husika
Kutunga sheria ndogondogo katika eneo lao
Kuajiri mkurugenzi mtendaji wa Manispaa
Kusimamia shughuli za uchaguzi wa mitaa
Kuajiri wakuu wa idara katika Manispaa
Chagua Jibu
3. Ipi kati ya zifuatazo ni faida za mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini Tanzania'?kisiasa nchini
Kuongezeka kwa ajira serikalini
Kutokuwepo kwa tofauti za
Vyama vyote vya siasa kupokea ruzuku
Kuongezeka kwa uwajibikaji serikalini
Kuongezeka kwa wawekezaji toka nje
Chagua Jibu
4. Ni mwaka gani Umoja wa Mataifa (UN) ulipitisha Azimio D kuhusu Haki za Binadamu?
1964
1945
1948
1961
1984
Chagua Jibu
5. Kwa nini tarehe 7 Aprili ya kila mwaka inakumbukwa nchini Tanzania?
Ni siku ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Karume.
Ni siku ya kifo cha Rais wa kwanza v,va Tanzania Julius K. Nyerere.
Ni siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Ni siku ya kuzaliwa TANU.
Ni siku ya uhuru wa Zanzibar.
Chagua Jibu
6. Ni vyombo gani vya kitamaduni hutumika kupikia chakula?
Chungu na ngao
Chungtl na mwiko
Ngao na kikapu
Kinu na chungu
Mtungi na kinu
Chagua Jibu
7. Yupi kati ya wafuatao huendesha vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Spika na Naibu spika wanapokuwa hawapo Bungeni?
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Wenyeviti wa Bunge
Waziri Mkuu
Katibu wa Bunge
Wenyeviti wa Kamati za Bunge
Chagua Jibu
8. Ipi kati ya zifuatazo ni faida ya kiuchumi ya kuwekeza katika elimu ya rasilimali watu Tanzania'?
Ufanisi katika kusimamia rasilimali za taifa.
Uwepo wa sekta iliyo rasmi tu.
Watu wote kupata kipato sawa.
Kutoweka kwa utandawazi.
Kupungua kwa bidhaa kutoka nchi za nje.
Chagua Jibu
9. Upi kati ya ujumbe ufuatao hutolewa kwa madereva na watumiaji wengine wa barabara kwa kutumia rangi nyekundu katika taa za barabani'?
Ongeza mwendo
Punguza mwendo
Simama
Kuna hatari mbele
Kuna reli inapita mbele
Chagua Jibu
10. Makao Makuu ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yapo katika mji gani?
Pretoria.
Lusaka.
Harare.
Maputo.
Gaboroni.
Chagua Jibu
ll . Yupi kati ya wanyama watUatao anaweza kulinda maisha na mali zetu?
Farasi
Punda
Ngamia
Palea
Mbwa
Chagua Jibu
12. Ni kwa namna gani Tanzania inaweza kunufaika na utandawazi'?
Kuwa na uwezo •wa kupanga bei za bidhaa zake katika soko la kimataifa.
Kupata fursa ya kuwekeza katika nchi tajiri duniani.
Kuwa na uwezo wa kuwa na kura ya turufu katika Umoja wa Mataifa.
Kupata fursa ya kutangaza vivutio vyake vya utalii.
Vijana wengi kupata fursa za ajira katika nchi tajiri.
Chagua Jibu
KIPENGELE 11: HISTORIA
Chagua jibu sahihi kisha weka kivuli kwenye herufi ya jibu lililo sahihi katika fomu maalum (OMR) ya kujibia uliyopewa.
13. Ni nani aliyegundua moto katika Zama za Kati za Mawe'?
Primeti
Homo Habilisi
Homo Erectus
Australopithikasi
Homo Sapiensi
Chagua Jibu
14. Vipi vilikuwa vyama maarufu vya siasa vilivyopigania uhuru "'a Zimbabwe'?
KANU na UNIP
UNITA na ZANU
ZANU na MPLA
ZNP ZANU
ZAPU na ZANU
Chagua Jibu
15. Ni jamii ipi ilipinga uvamizi wa Kiingereza kwa njia ya vita katika Afrika ya Kati?
Wamatumbi
Wamandika
Wakhoisa
Wandehele
Waasante
Chagua Jibu
16. Ni taifa gani la Ulaya lililosaini makubaliano ya Buganda yaliyompa Kabaka madaraka ya kisiasa mwaka 1900?
Ubelgiji
Marekani
Ujerumani
Ufaransa
Uingereza
Chagua Jibu
17. Ni nchi gani mfumo wa kulisha kasumba ulianzishwa kwa mara ya kwanza?
Naijeria
Msumbiji
Uganda
Angola
Senegali
Chagua Jibu
18. Ni karne ya ngapi mataifa ya Ulaya yalilivamia Bara la Afrika?
Karne ya 15
Karne ya 20
Karne ya 18
Karne ya 9
Karne ya 19
Chagua Jibu
19. Nani alikuwa binadamu wa kwanza kutcngeneza zana na ambaye alikuwa na ubongo mkubwa kuliko wa Zinjanthropasi?
Homo Erectus
Homo Sapiensi
Homo Habilisi
Australopithikasi
Primeti
Chagua Jibu
20. Ni katika zama gani mwanadamu alianza kuzalisha chakula zaidi?