MAARIFA YA JAMII 2011
SEHEMU A
URAIA
Chagua jibe sahihi kisha andika herufi inayohusika mbele ya namba ya kilo swali katika karatasi yako ya kujibia.
1. Kuna aina mbili za uongozi katika Serikali za Mitaa ambao ni uongozi wa:
2. Katibu wa vikao vya Halmashauri ya Wilaya ni:
3. Nguzo kuu tatu za mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni:
4. Aina mbili za mazao yanayooneshwa katika Nembo ya Taifa ni:
5. Lengo mojawapo la Mwenge wa Uhuru ni:
6. Usalama wa mali ya shule unaweza kuimarishwa kwa:
7. Mkuu wa Jeshi la Magereza huitwa:
8. Sanaa za maonesho zinajumuisha mambo yafuatayo:
9. Katika nchi ya kidemokrasia mabadiliko ya uongozi wa nchi hufanyika kwa njia ya:
10. Mambo ambayo kila mwanadamu anastahili kupata bila kujali kabila, utaifa au jinsia huitwa:
11. Umri wa mgombea Urals wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania unapaswa usiwe chini ya miaka
12. Mtu anayewekeza mtaji katika mradi au biashara iii kupata faida huitwa:
14. Kazi mojawapo ya Bunge la Tanzania ni:
SEH EMU B HISTORIA
Chagua jibu sahihi kisha andika herufi inayohusika mbele ya kila swali katika karatasi yako ya kujibia.
15. Baba, mama na watoto kwa pamoja huunda:
16. Lipi kati ya yafuatayo lilikubaliwa katika mkutano wa Berlin mwaka 1884 - 1885?
17. Ni nani alikuwa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar?
18. Lengo la elimu katika Afrika huru lilikuwa:
19. Zipi katika nchi zifuatazo zilipata uhuru kwa njia ya mtutu wa bunduki?
20. Mkataba uliokataza kusafirisha watumwa nje ya Afrika Mashariki ulijulikana kam mkataba wa:
21. Ni nchi ngapi zilianzisha Umoja wa Nchi Huru za Kiafrika (0AU)?
22. Dr. Leakey aligundua fuvu la mtu wa kale mwaka:
23. Mtawala wa kwanza wa Kiarabu katika visiwa vya Unguja aliitwa:
24. Sabalau kuu iliyofanya Tanganyika na Zanzibar kuungana mwaka 1964 ni:
25. Ulinzi katika jamii ya Kimasai ulikuwa ni jukumu la:
26. Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ni pamoja na:
27. Mashirika ya Umoja wa Mataifa yatoayo msaada kwa Tanzania ni:
28. Njia iliyotumiwa na mataifa ya Afrika kujikwamua kiuchumi baada ya uhuru ni:
29. Ni nani alikuwa kiongozi wakati wa utawala wa Kiingereza katika Tanganyika?
30. Mfalme aliyeshirikiana na Waingereza katika vita dhidi ya Wandebele aliitwa:
31. Wazungu wa kwanza kuja Tanganyika walitoka:
32. Mojawapo ya sababu iliyowafanya Wareno kutawala pwani ya Afrika Mashariki ilikuwa:
SEH EMU C
)10GRAFIA
Chagua jibe sahihi kisha andika herufi inayohusika mbele ya narnba ya kila swan katika karatasi yako ya kujibia.
33. Gesi asilia hupatikana katika eneo lipi kati ya yafuatayo?
34. Kipi kati ya vipimio vya ramani vifuatavyo ni kidogo kuliko vyote?
35. Tanzania na Msumbiji zinatenganishwa na mto:
36. Mistari ya gridi husomwa kwa tarakimu ngapi?
37. Bandari kuu tatu katika Afrika Mashariki ni:
38. Ni chombo gani hutumika kupima mwendokasi wa upepo?
39. Ni sayari zipi kati ya zifuatazo zina miezi?
40. Mazao ya biashara yanayouzwa kwa wingi nchi za nje kutoka Tanzania ni:
41. Dunia huchukua muda gani kukamilisha mzunguko mmoja katika mhimili wake?
42. Zao linalotumika kutengeneza sigara ni:
43. Iwapo herufi Z iko kwenye gridi 435235 katika ramani, kipimo cha mstari wa wima ni:
44. Bainisha njia sahihi ya kuhifadhi unyevu shambani:
45. Soma kwa makini picha ifuatayo na kisha jibu swali linalofuata:
Uoto wa asili unaoonekana katika picha unapatikana katika tabia ipi ya nchi?
46. Moja ya majanga yanayoletwa na nguvu za asili na kazi za binadamu ni:
47. Mazingira yanapaswa kutunzwa
48. Bainisha njia sahihi ya kuzuia athari za mazingira zinazotokana na kilimo:
49. Nishati ISIYO na madhara katika mazingira ni:
50. Soma ramani ifuatayo kisha jibu swali linalofuata:
Umbali kutoka 020120 hadi 040120 ni kilometa ngapi