MAARIFA YA JAMII 2007
URAIA, JIOGRAFIA NA HISTORIA
Cuguajibu lililo sahihi na andika herufi inayohusika mbeleya kila swali.
1. Nchi kubwa kuliko zote barani Afrika ni
- DRC
- Sudan
- Nigeria
- Afrika Kusini
- Tanzania
Chagua Jibu
2. Ipi kati ya taasisi zifuatazo ni ya muhimu katika kuondokana na umasikini Tanzania?
- Mkukuta
- Takukuru
- Benki
- Maduka
Chagua Jibu
3. Mkutano wa Berlin ulianza na kumalizika mwaka gani? .
- 1884 - 1885
- 1884 - 1895
- 1848 - 1884
- 1894- 1895
- 1895 - 1896
Chagua Jibu
4. Sehemu nyembamba za Bahari zinazotenganisha bara moja na jingine au bara na kisiwa zinaitwa:
- Mlango Bahari
- Ghuba
- Rasi
- Visiwa
Chagua Jibu
5. Chombo maalumu kinachomshauri Rais katika masuala ya kitaifa na kimataifa ni:
- Bunge
- Mahama Kuu
- Baraza la Mawaziri
- Kamati ya Bunge
Chagua Jibu
6. Mwanamke wa kwanza barani Afrika kuchaguliwa Rais wa nchi anaitwa ...
- Helen J Sirleaf
- Queen Uzinga
- Grace Michael
- Gertrude Mongela
Chagua Jibu
7. Ikiwa Accra ni saa sita mchana itakuwa saa ngapi katia mstari wa kimataifa wa tarehe?
- 12:00 jioni
- 6 mchana
- 8 mchana
- 2 usiku
Chagua Jibu
8. ASP (Afro Shiraz Party) iliundwa baada ya Muungano wa vyama vya
- AA na Shiraz Association
- Shiraz Association
- TANU naAA
- Zanzibar Africa Associtaion and Shiraz Association
- ASP na TANU
Chagua Jibu
9. Gavana wa mwisho wa Kiingereza nchini Tanganyika aliitwa
- William Mackinnon
- Richard Turnbull
- Carl Peters
- Edward Twining
- Horace Byatt
Chagua Jibu
10. Uharibifu wa mazingira humanisha nini?
- Utunzaji mzuri wa mazingira
- Upandaji miti kwa wingi
- Uharibifu wa mazingira kutokana na kazi za kila siku za binadamu
- Kufuga wanyama wachache
- Kata mti panda mti
Chagua Jibu
11. Ulinzi na usalama wa Watanzania na mali zao ni jukumu la:
- Jeshi la polisi
- Jeshi la wananchi wa Tanzania
- Wabunge
- Raia wote
Chagua Jibu
12. Vita vya MAUMAU vilifanyika wapi?
- Uganda
- Tanzania
- Kenya
- Burundi
- Kongo
Chagua Jibu
13. Kipimo kilichoandikwa kama "Sentimeta moja kwa kilometa humaanisha
- 1:250,000
- 1:100,000
- 1:20,000
- 1:2
- 1:200,000
Chagua Jibu
14. Mataifa ya Ulaya yalizitawala nchi za Afrika kutokana na sababu zifuatazo:
- Kueneza ukristo
- Kukomesha biashara ya utumwa
- Kuimarisha urafiki na nchi za Afrika
- Kutafuta masoko na maeneo ya kuwekeza
Chagua Jibu
15. Soko maarufu la watumwa kabla ya uvamizi wa wakoloni lilikuwa:
- Bagamoyo
- Kilwa
- Zanzibar
- Mombasa
Chagua Jibu
16. Sayari hulizunguka jua kupitia njia zake maalumu ziitwazo
- Mihimili
- Obiti
- mzingo
- Abort
Chagua Jibu
17. Bendera ya Rais, ramani ya Tanzania na fedha za Kitanzania ni miongoni mwa ......... saba za Taifa Ietu,
- Itikadi
- Vyama vya Siasa
- Nyimbo za Taifa
- Alama (Vitambulisho)
- Sikukuu
Chagua Jibu
18. Mabaki yanayoonyesha binadamu wa kwanza aliyeishi Tanzania yalipatikana:
- Isimila
- Bujora
- Bonde la Olduvai
- Kondoa Irangi
Chagua Jibu
19. Sayari ya tatu kutoka kwenye jua ni:
- Jua
- Dunia
- Zuhura
- Zebaki
Chagua Jibu
20. Mkuu wa shughuli zote za kiserikali katika kata ni
- Diwani
- Afisa Mtendaji Kata
- Mbunge Katika Kata hiyo
- Hukumu jubi sahihi
Chagua Jibu
BOFYA HAPA KUPAKUA APP YA LEANING HUB
ILI KUFUNGUA MTIHANI MZIMA
Try Another Test |