STD VII HISABATI ONLINE SELF NECTA TEST FOR YEAR 2023
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BARAZA LA MTIHAN1 LA TANZANIA
MTIHANI WA KUMALIZA ELIMIJ YA MSNGI
04 HISABATI
Muda: Saa 2:00 Mwaka : 2023
Maelekezo
Karatasi hii ina sehemu A na B zenye jumla ya maswali arobaini na tano (45).
Jibu maswali yote.
Soma maelekezo yote yaliyoko katika fomu maalum ya kujibia (OMR).
Jaza taarifa zote katika fomu ya OMR.
Weka kivuli katika kila tarakimu ya Namba yako ya Mtihani kwenye nafasi husika katika fomu ya OMR.
Weka kivuli katika herufi ya jibu lililo sahihi kwa swali Ia 1 hadi 40 katika fomu yako ya kujibia uliyopewa. Kwa mfano, kama jibu sahihi ni A weka kivuli kama ifuatavyo:
Ukigundua kuwa herufi uliyowekea kivuli si jibu sahihi, futa kivuli hicho kwa umakini kwa kutumia kifutio safi kabla ya kuweka kivuli katika herufi mpya.
Tumia penseli ya HB tu katika kujibu swali Ia 1 hadi 40, na kalamu ya wino wa bluu au mweusi kwa swali Ia 41 hadi 45.
Onesha wazi njia iliyotumika katika kujibu swali la 41 hadi 45 katika nafasi iliyotolewa kwenye fomu ya OMR.
Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi ndani ya chumba cha mtihani.
SEHEMU A: MATENDO YA KIHISABATI, MAUMBO NA MAFUMBO
Katika swali la 1 - 40, kokotoa swali ulilopewa na kisha weka kivuli kwenye herufi ya jibu lililo sahihi katika fomu maalum ya kujibia (OMR) uliyopewa.
1. Ni namba ipi inayofuata katika mpangilio wa namba zifuatazo? 29, 33, 37, 41,
43
45
47
42
46
Chagua Jibu
2. Urefu wa kiwanja cha mpira wa miguu ni meta 90.136 na urefu wa kiwanja cha mpira wa wavu ni meta 30.769. Andika tofauti ya urefu wa viwanja hivyo katika nafasi mbili za desimali.
60.63
59.34
60.37
59.37
59.36
Chagua Jibu
3. Akilimali alianguka baada ya kukimbia ya muda wa saa moja. Je, ni asilimia ngapi ya muda alibakiza kukamilisha saa moja?
75%
0.25%
25%
7.5%
2.5%
Chagua Jibu
4. Bwana Mandela ana shamba lenye umbo la duara ambalo lina kipenyo cha meta 35. lwapo atapanda miti kwa achano la meta 2.2 kati ya mti na mti kuzunguka shamba hilo, je, atapanda miti mingapi kuzunguka shamba lote? (Tumia π = )
110
242
77
51
50
Chagua Jibu
5. Daktari aliwahudumia wagonjwa kwa siku mbili. Siku ya Jumatatu aliwahudumia wagonjwa 81 na siku ya Jumanne aliwahudumia wagonjwa 69. Ipi ni sehemu ya wagonjwa waliohudumiwa siku ya Jumatatu?
Chagua Jibu
6. Rehema na Fadhili walianza kwa pamoja kuhesabu machungwa. Rehema alihesabu kwa sauti kila baada ya machungwa 5 na Fadhili kila baada ya machungwa 9. Ni namba ipi moja ya kwanza wote wataitaja kwa sauti?
14
4
45
90
54
Chagua Jibu
7. Tanki la pikipiki ya Bakari lilijazwa mafuta lita 24. Iwapo pikipiki itatembea umbali wa km 10 na kutumia ya lita za mafuta hayo, je, ni lita ngapi za mafuta zitabaki?
15
34
9
25
14
Chagua Jibu
8. Basi lina viti 23, viti viwili ni kwa ajili ya dereva na kondakta na ya viti vilivyobaki ni kwa ajili ya abiria. Ni viti vingapi havijakaliwa na abiria katika basi hilo?
21
14
16
7
9
Chagua Jibu
9. Wanafunzi watano walipewa kazi ya kuorodhesha vigawe vyote vya 6 vilivyopo kati ya 30 na 60. Ipi ni orodha sahihi?
36, 48,54, 56
36, 42, 54, 60
36, 40, 42, 48
36, 48, 54, 60
36, 42, 48, 54
Chagua Jibu
10. Esta alikokotoa kwa usahihi zao la namba tasa zote zilizopo kati ya 80 na 90. Je alipatajibu lipi?
7,387
7,378
7,367
7,373
7,396
Chagua Jibu
11. Makundi matano yaliorodhesha namba shufwa zote zilizopo kati ya 115 na 124. Kundi lipi liliorodhesha namba hizo kwa usahihi.
116, 120, 122, 124
116, 118, 120, 122
116, 119, 120, 122
116, 118, 120, 124
16, 120, 1239 124
Chagua Jibu
12. Wanafunzi walipewa kazi ya kupanga namba 1.25, 20%, , 0.15 na -3 katika mfululizo wa kupungua. Upi ni mpangilio sahihi?
1.25, , -3, 0.15, 20%
-3, 1.25, 0.15, 20%,
-3, 20%, 1.25, , 0.15
1.25, 20%, 0.15, , -3
1.25, -3, 20%, 0.15,
Chagua Jibu
13. Mwanahawa aliweka shilingi 450,000 kwa muda wa miaka 2 benki na kupata riba ya shilingi 27,000. Kipi ni kiasi cha riba kwa asilimia ambacho benki ilitoa.
2%
3%
4%
5%
1%
Chagua Jibu
14.Shule ya msingi Ushindi ina jumla ya wanafunzi 960. Ikiwa wasichana ni 540, je, wavulana ni sehemu gani ya wanafunzi wote?
Chagua Jibu
15. Mama yake Mariamu alikuwa na kilogramu 100 za mchele. Alimpa Elisha , Mwajuma na Isihaka ya kiasi chote cha mchele. Je, aliyepata mgao mdogo, alipata kilogramu ngapi za mchele?
30
40
70
20
10
Chagua Jibu
16. Musa alikula ya mkate na Amina alikula huo. Je, walibakiza sehemu gani ya mkate huo?
Chagua Jibu
17. Sabrina na Salma walipata faida katika biashara yao. Sabrina alipokea ya faida wakati Salma alipokea 0.4 ya faida hiyo. Tafuta tofauti ya viwango walivyopokea katika asilimia.
60%
40%
30%
80%
20%
Chagua Jibu
18. Upendo alisafiri umbali wa kilometa kwa baiskeli na sehemu iliyobaki alitembea kwa miguu. Iwapo alisafiri umbali wa kilometa , je, alitembea umbali gani kwa miguu?
Km
Km
Km
Km
Km
Chagua Jibu
19. Shule ya Msingi Uhuru ilikuwa na ng'ombe 80. Mwaka jana iliamua kuuza ya ng'ombe hao. Je, shule ilibakiwa na ng'ombe wangapi?
50
48
32
10
30
Chagua Jibu
20. Kampuni ya umeme hutumia lita 5,500 na mililita 760 za dizeli kwa siku kufua umeme unaotosheleza katika kijiji cha Wazalendo. Ni kiasi gani cha dizeli kitatumika mwezi Februari wa mwaka mfupi kutosheleza mahitaji ya kijiji hicho?