STD VII HISABATI ONLINE SELF NECTA TEST FOR YEAR 2018
1. 1,236 รท 4 =
39
309
63
306
49
Chagua Jibu
2. Andika katika sehemu rahisi
3/4
9/12
9/24
3/8
2/12
Chagua Jibu
3. 269 + 1,731 =
1,800
1,900
1,990
1,999
2,000
Chagua Jibu
4.
2
3
4
5
6
Chagua Jibu
5. 1,509 - 728 =
581
.681
771
781
881
Chagua Jibu
6.
3
3 2/5
3 1/10
4 1/10
5 1/10
Chagua Jibu
7. 78 x 952 =
74,256
70,756
74,246
74,156
73,856
Chagua Jibu
8. Ikiwa p = 5 na Q = 4, tafuta thamani ya (p2) x (Q2)
54
108
400
200
800.
Chagua Jibu
8. Ikiwa p = 5 na Q = 4, tafuta thamani ya (p2) x (Q2)
54
108
400
200
800.
Chagua Jibu
10. 1.9 - 0.06 =
0.94
1.94
1.86
1.84
1.96
Chagua Jibu
11. Badili 44% kuwa sehemu rahisi
44/100
22/25
11/50
22/50
11/25
Chagua Jibu
12. Tafuta thamani ya 492
2,401
2,301
1,301
98
492
Chagua Jibu
13. 3 -(6--8) =
17
-1
-11
1
11
Chagua Jibu
14. le, kuna namba shufwa ngapi kati ya 73 na 81?
7
6
5
4
3
Chagua Jibu
15. Zidisha kg 8 kwa 5
kg 40 gm 25
kg 40 gm 250
kg 42 gm 250
kg 42 gm 225
kg 40 gm 455
Chagua Jibu
16. Andika namba inayokosekana katika mfulululizo wa namba ufuatao: 70, 85, 100,........ 130.
101
105
108
110
115
Chagua Jibu
17. Ikiwa tafuta thamani ya m:
2/3
7/3
2/7
1/3
1/7
Chagua Jibu
18. Tafuta kigawo kikubwa cha shirika (KKS) cha 32 na 48
16
12
8
4
2
Chagua Jibu
19. 15.65 x 12 =
31.3
15.65
187.8
178.7
187.7
Chagua Jibu
20.
3 1/7
7
44/14
8
4 12/14
Chagua Jibu
21. Tafuta kipeuo cha pill cha (64 x 4)
4
8
16
32
64.
Chagua Jibu
22. Ikiwa M=-3, N=-5, tafuta thamani ya (-9 x M x N)
-105
15
-125
-135
135
Chagua Jibu
23. Tafuta eneo la umbo lifuatalo
sm2 80
sm2 40
sm221
sm2 20
sm2 160
Chagua Jibu
24. Andika majira ya nukta P na Q
P(2, -3) Q(2, 0)
P(-3, 2) Q(0, -2)
P(2, 3) Q(-2, 0)
P(2, -3) Q(0, -2)
P(0, -2) Q(2, -3)
Chagua Jibu
25. Tafuta ukubwa wa pembe ABC katika umbo lifuatalo
500
600
650
700
900
Chagua Jibu
26. Mzingo wa duara lifuatalo n ism 352. Tafuta nusu kipenyo cha duara hilo( Tumia pai=22/7)
sm 28
sm 44
sm 56
sm 88
sm 176
Chagua Jibu
26. Mzingo wa duara lifuatalo n ism 352. Tafuta nusu kipenyo cha duara hilo( Tumia pai=22/7)
sm 28
sm 44
sm 56
sm 88
sm 176
Chagua Jibu
28. Tafuta eneo la umbo lifuatalo
sm2 144
sm2 124
sm2 120
sm2 64
sm2 36
Chagua Jibu
29. Tafuta mzingo wa pembetatu pacha PQR
sm 10
sm 38
sm 18
sm 24
sm 14
Chagua Jibu
30. Tafuta ukubwa wa umbo lifuatalo
sm3 192
sm3 224
sm3 128
sm3 256
sm3 64.
Chagua Jibu
31. Tafuta eneo la umbo lifuatalo:
sm2 30
sm2 24
sm2 40
sm2 48
sm2 60.
Chagua Jibu
32.Joni alinunua maembe 225 kwa mkulima. Aliuza maembo 135 kwa siku moja. Je, maembe aliyoyauza ni asilimia ngapi ya maembe yote?
20%
30%
40%
51%
60%.
Chagua Jibu
33. Jumla ya urefu wa pande sambamba za trapeza ni sm 24. Ikiwa kimo cha trapeza ni sm 7, tafuta eneo la trapeza hiyo.
sm2 72
sm2 74
sm2 82
sm2 84
sm2 158.
Chagua Jibu
34. Martha hutembea kwa mwendokasi wa kilometa 2 kwa saa kutoka nyumbani hadi dukani. Ikiwa hutumia nusu sasa, je, ni umbali gani kutoka nyumbani hadi dukani?
km 1
km 2
km 3
km 4
km 5.
Chagua Jibu
35. Vilili vine katika mkoa mmoja vilivuna korosho kilogramu 60,000. Je, kwa wastani kila kilip kilivuna tani ngapi? (Tani moja = Kilogramu 1000).
tani 5
tani 10
tani 15
tani 20
tani 25.
Chagua Jibu
36. Mkulima aliuza pamba na kupata shilingi 2,500,000. Ikiwa mauzo kwa kilo moja ni shilingi 2,500, je, aliuza kilo ngapi?
25
50
500
1000
1500
Chagua Jibu
37. Jumla ya umri wa baba na mtoto ni miaka 40. Ikiwa umri wa baba ni mara mbili ya umri wa mtoto, je mtoto ana umri wa miaka mingapi?
5
10
15
20
25
Chagua Jibu
38. Idadi ya wanafunzi wa Darasa la 513 katika shule ya msingi Mwembeni waliofaulu katika jaribio la kila wiki la somo la Hisabati kwa wiki nne ni kama inavyooneshwa katika jedwali lifuatalo
Wiki
I
II
III
IV
Idadi Ya Wanafunzi
76
64
--
72
Ikiwa wastani wa idadi ya wanafunzi waliofaulu ni 70, je? Wiki ya tatu walifaulu wanafunzi wangapi?
64
66
68
70
72
Chagua Jibu
39. shule ya msingi Mapinduzi ina jumla ya wanafunzi 860. Ikiwa wavulana ni 432, je, wasichana ni wangapi?
328
418
432
438
428
Chagua Jibu
40. Dawati moja katika chumba cha Darasa la sita hukaliwa na wanafunzi 3. Ikiwa chumba cha Darasa hilo kina wanafunzi 60, je,kina madawati mangapi?