MTIHANI WA SAYANSI DARASA LA NNE 2014
SEHEMU A
jibu swali la 1 - 10 kwu kuchaguu herufi yu jibu sahihi na kuandiku haiku kuralasi .ya kujibia.
1. kuna hatua......... za kunawa mikono
- sita
- saba
- tano
- nne
Chagua Jibu
2. Nywele chalu huwa ni makazi ya
- chawa
- inzi
- kunguni
- kupe
Chagua Jibu
3. Ugonjwa wa hatari zaidi unaosababishwa kwa kufaya ngono zembe ni
- kaswende
- UKIMWI
- kisonono
- Ebola
Chagua Jibu
4. Katika mwili wa binadamu mifupa na misuli huunganishwa kwa
- ngozi
- viungo
- mifupa
- kano
Chagua Jibu
5. Kifaa cha kupima uzito hujulikana kama
- themometa
- kapani
- rula
- silinda kipimio
Chagua Jibu
6. Maji kutoka katika vyanzo vyake huwa katika hall ya
- kimiminika
- Gesi
- barafu
- mvuke
Chagua Jibu
7. Kipi kati ya vitu vituatavyo hakionekani nyakati za usiku? ..........
- Mwezi
- Nyota
- Jua
- Mawingu
Chagua Jibu
8. Vifuatavyo ni vyanzo vya mwanga isipokuwa
- sumaku
- kandili
- mshumaa
- jua
Chagua Jibu
9. Mchoro huu unaonesha kitaa kittwacho
- mundu
- reki
- kisu
- panga
Chagua Jibu
10. Binadamu ana aina ngapi za meno?..........
- Tano
- Nne
- Sita
- Tatu
Chagua Jibu
SEHEMU B
Jibu swali la 11 - 17 kwa kujaza nafasi zilizoachwa wazi.
11. Kuna hali kuu ......... za maada.
Fungua Jibu
12. Huduma ya kwanza hutolewa ili kuokoa . . . . . . .
Fungua Jibu
13. Kifaa chochote kinachotumika kurahisisha kazi huitwa ..........
Fungua Jibu
14. Mmea hukua mbegu inapoanza ........
Fungua Jibu
15. Jua, umeme, na msuguano ni vyanzo vya . . . . . . . .
Fungua Jibu
16. Ugonjwa wa kwashakoo husababishwa na ukosefu wa . . . . . . . . . mwilini.
Fungua Jibu
17. Asilimia ..... ya mwili wa binadamu ni maji.
Fungua Jibu
SEHEMU C
Jibu swali la 18 - 20 kwa kuandika neno "Kweli" au 'si kweli
18. Hali ya mtu kupotewa na fahamu huitwa kuzirai . . . . .
Fungua Jibu
19. Homa ya matumbo ni ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya hewa ......
Fungua Jibu
20. Dainamo ni chanzo kimojawapo cha umeme . . . . . . . .
Fungua Jibu
SEHEMU D
Jibu swali la 21 - 25 kwa kuoanisha maneno yaliyo katika "Fungu A" na yaliyo katika "Fungu B"
FUNGU A
21. Petali
22. Mazingira
23. Ovari
24.Mwangwi
25. Mamalia
FUNGU B
- Sauti iliyoakisiwa
- Wanyama wanaonyonyesha.
- Ni sehemu ya ua yenye rangi angavu
- Hutunza chembe za kike
- Maeneo na vitu vinavyotuzunguka
- Inapokea chuvua kutoka kwenye stamina
- Hifadhi ya misitu
- Sauti iliyokwaruzwa
Fungua Jibu