SAYANSI 2013
SEHEMU A
Jibu swali namba 1 hadi 10 kwa kuchagua jibu sahihi na kisha kuandika herufiyake pembeniya namba ya swali.
1. Mimea haiwezi kuendelea kukua bila hewa, maji na ........... .
- mwanga wa jua
- upepo
- baridi
- barafu
Chagua Jibu
2. Jasho hutoka mwilini kwa kupitia .. . . . . . vilivyoko kwenye ngozi.
- mashine
- sehemu za mwili
- vinyweleo
- kupandikiza
Chagua Jibu
3. Chumvi katika maji inaweza kutenganishwa na maji kwa .........
- kuchuja
- kupika
- kuvukiza
- kugandisha
Chagua Jibu
4. Fagio na sepetu ni mifano ya nyenzo daraja la . . . . . .
- Tatu
- Nne
- Pili
- Kwanza
Chagua Jibu
5. Jotoridi la kuganda kwa maji (maji kuwa barafu) ni .
- 100C
- 360C
- 0 0C
- 36,90C
Chagua Jibu
6. Kutembea, kusimama na kukimbia kwa muda mrefu husababisha ............ kukaza.
- mifupa
- misuli
- viungo
- viungo
Chagua Jibu
7. Mzunguko kamili wa .......... huitwa sakiti.
- waya
- betri
- soketi
- umeme
Chagua Jibu
8.Vitu vilivyoundwa kwa huweza kuvutwa na sumaku.
- chuma
- vumbi
- mbao
- kioo
Chagua Jibu
9. Joto husambaa katika kimiminika kwa njia ya . . . . . . .
- msafara
- mpitisho
- mnururisho
- mgandamizo
Chagua Jibu
10. Mwanga husafiri katika mstari ... ... ...
- mnyoofu
- uliopinda
- zigizaga
- mwembamba
Chagua Jibu
SEHEMU C
Jibu swali la 11 hadi la 17 kwa kujaza nafasi zilizoachwa wazi.
11. . . . . . . . . ni kifaa kinachotumika kuangalia vitu vidogo ambavyo haviwezi kuonekana kwa macho yetu.
Fungua Jibu
12. Maji katika hali yabisi huitwa . . . . . . . . . .
Fungua Jibu
13. . . . . . . . .ni kifaa kinachotumika kunyoosha nguo na kuzifanya zionekane nadhifu..
Fungua Jibu
14 Katika sakiti ya umeme alama huwakilisha . . . . . . . . .
Fungua Jibu
15. . . . . . . . . . husababishwa na kukojoa na kujisaidia haja kubwa katika maji na huenezwa na konokono wa majini.
Fungua Jibu
16. Sauti iliyoakisiwa huitwa . . . . . . . . .
Fungua Jibu
17. Maji yakichemshwa hubadilika na kuwa . . . . . . . . .
Fungua Jibu
SEHEMU C
Jibu swali la 18 hadi la 20 kwa kuandika "Ndio' au "Hapana"
18. Selihai nyeupe za damu hulinda miili yetu dhidi ya magonjwa . . . . . . . . .
Fungua Jibu
19. Inafaa kumtenga mgonjwa wa UKIMWI na watu wengine . . . . . . . . .
Fungua Jibu
20. Nyenzo daraja la tatu, jitihadi huwa kati ya egemeo na mzigo . . . . . . . .
Fungua Jibu
SEHEMU D
Jibu swali la 21 hadi la 25 kwa kuoanisha maneno toka Fungu A na sentensi zinazoendana nayo kutokaFungu "B"
FUNGU A | FUNGU B |
21. Kipimajoto [ ] 22. Mwangwi [ ] 23. Kwashakoo [ ] 24. Sepali [ ] 25. Ufagio [ ] | - Nyenzo daraja la tatu
- Sehemu yenye rangi katika ua
- Madini yanayoimarisha mifupa na meno
- Sauti iliyoakisiwa
- Aina ya mbolea ya samadi
- Ugonjwa unaotokana na ukosefu wa protini
- Hutumika kupimia jotoridi
- Sehemu ya kijani ya ua ambayo hulinda ua
|
Fungua Jibu