SAYANSI 2010
SEHEMU A
Chagua jibu sahihi na andika herufi yake kwenye karatasiya kujibia
1. Mahitaji ya msingi ya binadamu ni . . . . . . . . . .
- makazi, mavazi na matibabu
- matibatu, mavazi na chakula
- chakula, mavazi na makazi
Chagua Jibu
2. Dalili za malaria ni pamoja na . . . . . . . . . .
- kutetemeka na kuvimba miguu
- kutapika na kupungua uzito
- mwili kuchoka na homa kali
Chagua Jibu
3. Kundi lipi la chakula huimarisha meno na mifupa yetu kati ya makundi yafuatayo . . . . . . . . . .
- Kabohaidreti
- Vitamin
- Madini
Chagua Jibu
4. Maelezo au taarifa za uchunguzaji huitwa . . . . . . . .
- data
- kizio
- kipimo
Chagua Jibu
5. Sauti iliyogonga ukuta na kurudishwa huitwa . . . . . . . . . .
- mwamba
- mwanga
- mwangwi
Chagua Jibu
6. Ukavu macho ni ugonjwa unaotokana na upungufu wa . . . . . . . . .
- Protini
- Vitamini
- Mafuta
Chagua Jibu
7. Mtu aliyekosa chakula bora afya mbaya na dhaifu . . . . . . .
- Afya mbaya na dhaifu
- Hupendeza
- Anakuwa na afya bora
Chagua Jibu
8. Ni kundi lipi la chakula huimarisha kinga ya mwili? ... ... ...
- Mchicha, maembe na karoti
- Wali, nyama na viazi
- Machungwa, muhogo na nyama
Chagua Jibu
9. Rula ikizamishwa kwenye glasi yenye maji huonekana kama imepinda kwa sababu mwanga .........ukitua katika maji.
- hutengeneza kivuli
- hutengeneza taswira
- hupinda
Chagua Jibu
10. Joto kutoka kwenye moto hufikia ngozi zetu kwa njia ya ... ... ...
- mnunurisho
- mpitisho
- msafara
Chagua Jibu
SEHEMU B
Jaza nafsi zilizoachwa wazi
11. Kujisaidia haja ndogo mtoni na ziwani . . . . . . . . . .
Fungua Jibu
12. Nyuzi za pamba na katani asili yake ni . . . . . . . . . .
Fungua Jibu
13. Chomo kinacho tumiwa kuchunguza vitu vidogo sana huitwa . . . . . . . .
Fungua Jibu
14. Onesha mpangilio wa nguvu katika sumaku zifuatazo zinapo karibiana
Fungua Jibu
15. Hewa iliyo kwenye mwendo huitwa . . . . . . . . .
Fungua Jibu
16. Wakati wa usanisinuru mmea huhitaji mwanga wa jua, chumvichumvi, rangi ya kijani na hewa ya . . . . . . . . .
Fungua Jibu
17. Hali tatu za maji ni kimiminika, gesi na . . . . . . . . .
Fungua Jibu
SEHEMU C
Jibu Kweli au Si Kweli
18. Hewa ya kabonidioksaidi inawasha moto . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu
19. Mkasi, mizani na vifaa vya kufungulia soda ni mifano ya mashine daraja la . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu
20. Ugonjwa wa kansa na kisukari hupunguza kinga ya mwili . . . . . . . .
Fungua Jibu
SEHEMU D
Oanisha fungu A na B ili kupatajibu sahihi
FUNGU A | FUNGU B |
21. Seli za damu zenye wajibu wa kulinda mwili dhidi ya magonjwa 22. Ni kazi mojawapo ya mgandamizo wa hewa 23. Unyafuzi 24. Nazi na mbegu za alizeti 25. Taswira | - Kusukuma chini vitu vinavyoelea
- Huupa mwili joto
- Chembe nyekundu za damu
- Kunyonya juisi kwa mrija
- Hujenga mwili
- Chembe nyeupe za damu
- Matokeo ya kusharabu mwanga
- Matokeo ya kuakisi mwanga
- Ukosefu wa protini
- Ukosefu wa mlo kamili
|
Fungua Jibu