MAARIFA YA JAMII 2016
SEH EMU A
HISTORIA
Jibu swali la 1 - 4 kwa kuchagua jibe msahihi na kisha andika herufi yake katika karatasi ya kujibia
1. Familia ya mzazi mmoja inajumuisha......
- baba au mama na watoto
- babu na watoto
- bibi na watoto
- mjomba na watoto
Chagua Jibu
2. Katika kipindi cha mwanzo cha zana za mawe binadamu walikuwa
- wakijishughulisha na utumwa
- waliishi katika vya ujamaa
- walishiriki katika biashara
- hawakuwa na makazi ya kudumu
Chagua Jibu
3. Mfumo wa uchumi wa ukabaila uliwagawa watu katika matabaka ya
- wafanyabiashara na wakulima
- watumwa na manokoa
- mamwinyi/makabaila na manokoa
- wafanyakazi na wakulima
Chagua Jibu
4. Moja ya majukumu ya chifu wa ukoo ilikuwa ni....
- kusuluhisha migogoro katika ukoo
- kupeleka watoto shule
- kusimania usafi shuleni
- kusimamia taaluma shuleni.
Chagua Jibu
Andika Kweli au Si kweli
5. Utamaduni ni utaratibu mzima wa maisha wa watu fulani .....
Fungua Jibu
6. Mnamo karne ya 19 jamii nyingi za kitanzania zilishiriki katika biasharaa ya kubadilishana bidhaa kwa bidhaa .....
Fungua Jibu
7. Kulikuwa na hatua nane katika mwendeleo wa mwanadamu kwa mujibu wa nadharia ya kisayansi .......
Fungua Jibu
URAIA
Jibu swali la 8 -12 kwa kuchagua jibu sahihi na uandike herufi yoke katika karatasi ya kujibia.
8. Katika nembo ya Taifa, mwenge unawakilisha
- uhuru wa taifa
- shule na vyuo
- wakulima
- wafanyakazi
Chagua Jibu
9. Kumbukumbu ya kifo cha raisi wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hufanyika kila mwaka siku ya tarehe
- 12 Disemba
- 9 Disemba
- 14 Octoba
- 7 Aprili
Chagua Jibu
10. Jukumu la usalama wa mipaka ya nchi yetu ni la
- Askari wa Taifa
- Jeshi
- Askari wote
- Watu wote
Chagua Jibu
11. Moja kati ya mambo yanayochangia katika ukiukwaji wa haki za watoto ni
- adhabu kali nyumbani na shuleni
- kupewa nafasi ya kucheza
- kushirikishwa katika kufanya maamuzi
- kupata elimu isiyo ya kubaguzi
Chagua Jibu
12. Mfumo wa serikali ambao unaruhusu ushirikishwaji wa watu kupitia viongozi wao waliowachagua hujulikana kama
- Serikali
- Demokrasia
- Ujima
- Ujamaa
Chagua Jibu
Andika Kweli au Si kweli
13. Wakati unatembea barabarani unashauriwa kutembea katika upande wa kulia wa barabara
Fungua Jibu
14. Sikukuu za kitaifa zimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni wakulima na wafayakazi
Fungua Jibu
SEHEMU C
JIOGRAFIA
Jihu swali la 15. 19 kwa kujaza jibu suhihi katika nafasi zilizoachwa wazi.
- Sehemu ya ardhi inayonyanyuka katika mita 0 hadi mita 300 kutoka usawa wa bahari inaitwa
Fungua Jibu
- Shughuli ya kiuchumi ambayo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania inajulikana kama
Fungua Jibu
- Upepo huvuma kutoka eneo lililo na mgandamizo mkubwa wa hewa kuelekea eneo lililo na
Fungua Jibu
- Kifaa kinachotumika kupiga picha kinaitwa
Fungua Jibu
- Mchanganyiko wa gesi na chembechembe nyingine ambazo zinaizunguka dunia zinaitwa ......
Fungua Jibu
Jibu swali 20 - 23 kwa kuoanisha maneno yaliyo katika "Fungu A" na yallyo katika "Fungu B':
FUNGU A
- Uwakilishaji wa sura ya dunia au sehemu ya dunia katika ubamba au karatasi iliyonyooka.
- Hutumika kutafsiri alama mbali mbali katika ramani.
- 'Tarifa inayotoa habari na kusudio la ramani.
- Hutumika kuonesha uwiano baina ya masafa katika ramani na masafa halisi ardhini.
FUNGU B
- Ufunguo
- Kichwa cha ramani
- Kipimo cha ramani
- Mipaka au kingo za ramani
- Picha na ramani
- Ramani Dira
Fungua Jibu
24. Katika ramani alama iliopo hapo chini inamaanisha ........
Fungua Jibu
25. Taja jina la ziwa miongoni mwa maziwa A, B, C, na D ambayo halipo katika Bonde la ufa la Afrika Mashariki ......
Fungua Jibu