MTIHANI WA KITAIFA MAARIFA YA JAMII DARASA LA IV 2015
SEHEMU A
HISTORIA
1. Familia hujumuisha..
- watu wanaoishi kijiji kimoja
- watu wanaoishi mtaa rnmoja
- baba, mama na watoto
- baba, mama na majirani
Chagua Jibu
2. Kati ya hatua zifuatazo, hatua ya mwisho ya mabadiliko ya binadamu kwa mujibu wa nadharia ya kisayansi ilikuwa
- sokwe
- Homo habilisi
- Zinjanthropasi
- Homo sapiensi
Chagua Jibu
3. Binadamu alianza kufuga wanyama na ndege katika
- za ma za mawe za mwisho
- zama za chuma
- zama za mawe za kati
- zama za mawe za mwanzo
Chagua Jibu
4. Mojawapo ya mila na desturi mbaya za Watanzania hapo zamani ni pamoja na
- jando na unyago
- utii wa sheria
- kuolewa na kuoa katika umri mdogo
- ulipaji wa mahari
Chagua Jibu
Jibu swali la 5 - 7 kwa kujasa nafasi zilizouchwa wazi
5. Muungano wa familia nyingi zenye asili moja huunda . . . . . . .
(ukoo, kabila, jamii, taifa)
Fungua Jibu
6. Wakati wa biashara ya kubadilisha bidhaa . . . . . . . Walikuwa na bidhaa za chuma (Wayao, Wasukuma, Wavinza, Wapare)
Fungua Jibu
7. Mfumo wa kwanza wa uzalishaji mali usio wa kinyonyaji ambao jamii za kitanzania zilipitia uliitwa
(Ujamaa, ubepari, Utumwa, Ujima)
Fungua Jibu
SEHEMU B
URAIA
8. Mwanaume na mwanamke katika nembo ya taifa huwakilisha . . . .
- Wafanyakazi
- Wakulima
- Umoja
- Uhuru
Chagua Jibu
9. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huadhimishwa kila mwaka tarehe .........
- 12 Januari
- 26 Aprili
- 01 Mei
- 07 Julai
Chagua Jibu
10. Bendera ya Taifa ina rangi ngapi?...
- Moja
- Mbili
- Tatu
- Nne
Chagua Jibu
11. Mali ya familia inatakiwa kulindwa na
- watoto peke yao
- baba na mama
- kila mwanafamilia
- babu na bibi
Chagua Jibu
12. Kabla ya kuvuka barabara eneo lisilo na taa au rn istari ya pundamilia unashauriwa kuangalia upande wa
- kulia, kushoto na kulia tena
- kushoto, kulia na kushoto tena
- kulia na kushoto tu
- kushoto na kulia tu
Chagua Jibu
13. Faida mojawapo ya kuwashirikisha watoto katika niaamuzi ni
(kuwapeleka watoto shule, kusikiliza maoni yao, kuwapa watoto upendeleo)
Fungua Jibu
14. Alama inayoonekana kwenye Bendera ya Raisi ni
(jembe na nyundo, ngao ya taifa, mwenge na uhuru)
Fungua Jibu
SEHEMU C
JOGRAFIA
15, Vitu vyote vinavyomzunguka binadamu na viumhe wengine huitwa .....
- mbuga za wanyama
- mazingira
- bahari na misitu
- ardhi na misitu
Chagua Jibu
16. Pande kuu nne za dunia dunia huweza kwa kutumi . . . . .
- Mawio na machweo ya jua
- Picha katika ramani
- Ufunguo na kipimio
- Mkono wa kushoto na kulia
Chagua Jibu
17. Baadhi ya shughuli za kiuchumi nchini tanzania ni pamoja na
- Kilimo, siasa, ufugaji
- Uvuvi, utalii, sayansi
- Viwanda, utalii, burudani
- Kilimo, utalii na viwanda
Chagua Jibu
18. Mojawapo ya faida ya utalii nchini Tanzania ....
- kuleta mvua za msimu
- kukuza pato la taifa
- kufanya utafiti wa mazingira
- kuleta mazao ya biashara
Chagua Jibu
19 Moja kati ya shughuli zifuatazo husababisha uharibifu wa mazingira kwa kiasi kikubwa .....
- upandaji
- ufugaji kuku kwa wingi
- ukataji miti ovyo
- kilimo cha mpunga
Chagua Jibu
SEHEMU D
Jibu swali la 21 - 25 kwa kuoanisha maneno yaaliyo haiku "Fungu A" na yaliyo katika "Fungu
FUNGU A
20. Kifaa kinachopima mwendokasi wa hewa iliyo katika mwendo
21. Kifaa kinachopima msukumo mgandamizo wa hewa
22. Kifaa kinachopima kiwango cha unyevu au mvuke wa maji yaliyo ndani ya hewa katika anga
23. Kifaa kinachopima hall ya joto au haridi ya kitu au mahali
FUNGU B
- Haigromita
- Kipimo upepo.
- Kipima joto
- Baromita
- Kipima mvua
- Anemomita
- Kipima jua
Fungua Jibu
24, Mama hii Napo chini inawakilisha nini katika ramani?
Fungua Jibu
Soma ramani kisha jibu swali linalo fuata
25. Herufi C inawakilisha ziwa gani?
Fungua Jibu