HISABATI 2016
1. Jumlisha
Makumi mamoja
8 3
+ 1 4
Fungua Jibu
2. 699 + 212 =
Fungua Jibu
3. 7 - 5 =
Fungua Jibu
4. Andika namba kwenye kisanduku. 492
Fungua Jibu
5. 740
x 95
Fungua Jibu
6.
Fungua Jibu
7. Miezi mitatu iliyopita, idadi ya magari yaliyopata ajali ni 125 kama kila gari lilikuwa na abiria wanne, Je ni abiria wangapi walihusika kwenye hizo ajali?
Fungua Jibu
8. Zabibu alikuwa na mkate mmoja. Alimpa 1/4 rafiki yake ya mkate huo. Je alibaki na sehemu gani ya mkate?
Fungua Jibu
9. Andika sehemu iliyo na kivuli?
Fungua Jibu
10.
Fungua Jibu
11.
Fungua Jibu
12. Anna ana shilingi 700. Alimpa kakake shilingi 500. Je Anna alibaki na shilingi ngapi?
Fungua Jibu
13. Shilingi 8625 - shilingi 175 =
Fungua Jibu
14. John alinunua bidhaa zifuatazo:
Mashati 3 @ shs. 2500.00
Fulana 4 @ shs. 400.00
Jozi 2 za viatu @ shs 4500. 00
Je, alitumia shilingi ngapi kwa jumla?
Fungua Jibu
15. Tafuta mzingo wa msitatili ABCD.
Fungua Jibu
16. Tafuta mzingo wa mraba ambao una urefu wa sm 20.
Fungua Jibu
17. Mstatili una urefu wa m 22 na upana wa m 15 Tafuta eneo lake.
Fungua Jibu
18. Wanakijiji 50 walipewa m2 1900 kila mtu. Je kwa jumla walipewa hekta ngapi?Fungua Jibu
19. Andika wakati ulioonyeshwa katika uso huu wa saa.
Fungua Jibu
20. Badili mm 150 kuwa sentimeta
Fungua Jibu
21. Saa Dakika
2 25
+ 3 45
Fungua Jibu
22. James aliondoka nyumbani 7:10 asubuhi na kufika shuleni 9:10 asubuhi tafuta muda aliotumia kutembea kutoka nyumbani hadi shuleni?
Fungua Jibu
23. Andika XXXV kwa tarakimu za kawaida.
Fungua Jibu
24. 80 - 32 andika jibu kwa namba za kirumi.
Fungua Jibu
25. Grafu ya muhimili inaonyesha idadi ya pakiti za maziwa zilizouzwa Jumatatu mpaka Alhamisi. Tafuta jumla ya pakiti zilizouzwa kwa siku nne zote.
Fungua Jibu