HISABATI 2015
1. Andika idadi ya pipi katika mchoro 12. Kuna noti ngapi za shilingi 500 katika ufuatao noti moja ya shilingi 10,000?
Fungua Jibu
2. Andika "elfu tano mia saba arobaini na tisa" katika taratibu.
Fungua Jibu
3. 72+16=
Fungua Jibu
4. 3566-2285=
Fungua Jibu
5. 115
x 6
Fungua Jibu
6.
Fungua Jibu
7. Kitabu kina kurasa 125. Kuna kurasa ngapi katika vitabu 150 vya aina hiyo?
Fungua Jibu
8. Victoria aligawana mikate na rafiki zake watatu. Ikiwa kila mmoja alipata kipande sawa cha mkate, je kila mmoja wao alipewa sehemu gani ya mkate?
Fungua Jibu
9. Sehemu gani ya umbo lifuatalo imetiwa kivuli?
Fungua Jibu
10.
Fungua Jibu
11.
Fungua Jibu
12. Kuna noti ngapi za sh. 500 katika noti moja ya sh. 10,000 ?
Fungua Jibu
13. Shilingi 7,425 + shilingi 225 =
Fungua Jibu
14. Joyce alinunua mahitaji yafuatayo sokoni:
machungwa 7 @ Shs. 200.00
ndizi 8 @ Shs. 250.00
maembe 9 @ Shs. 500.00
Je, alitumia shilingi ngapi kwa jumla?
Fungua Jibu
15. Tafuta mzingo wa mstatili ABCD
Fungua Jibu
16. Shaame ana shamba lenye umbo la mraba. iwapo upande mmoja una urefu wa m 50, tafuta mzingo wa shamba.
Fungua Jibu
17. Tafuta eneo la mstatili ufuatao:
Fungua Jibu
18. Kiwanja cha ndege cha Tabora kina urefu wa m 600 na upana wa m 100. Tafuta eneo lake katika hekta.
Fungua Jibu
19. Je, uso wa saa ufuatao unaonyesha muda gani?
Fungua Jibu
20. Asha alinunua kg 3 za mchele. Je, alinunua gramu ngapi za mchele?
Fungua Jibu
21. saa Dakika
5 25
+ 2 15
Fungua Jibu
22. Mwanaidi alisafiri kwa huduma ya basi la UDA kwa saa 1 na dakika 10 na kisha kutembea kwa miguu kwa saa 1 na dakika 15. Je alisafiri kwa muda gani.
Fungua Jibu
22. Mwanaidi alisafiri kwa huduma ya basi la UDA kwa saa 1 na dakika 10 na kisha kutembea kwa miguu kwa saa 1 na dakika 15. Je alisafiri kwa muda gani.
Fungua Jibu
24. Badili 67 kuwa namba ya kirumi
Fungua Jibu
25. Grafu ifuatayo inaonesha idadi ajali za pikipiki katika kijiji cha mjimwema kwa muda wa miezi minne.
Je, ni mwezi upi ulionekana kuwa na idadi ndogo ya ajali za pikipiki.
Fungua Jibu