Schemes Of Work 100% Completed
Lesson Notes 100% Complete
Necta Reviews 90% Complete
Lesson Plan For Teachers 60% Complete
info@learninghubtz.co.tz
HISABATI 2014
1. 9 + 117 +1018 =
3. 314
x 14
5. Jumlisha: 27 + 18 = (Andika jawabu kwa namba za kirumi)
6. Badili XVII kuwa namba za kawaida
7.
8.
9. Andika sehemu iliyotiwa kivuli
10. Kuna mistari minyoofu mingapi katika mchoro ufuatao?
11. Urefu wa mstatili ni mita 50 na upana wake mita ni 40. Tafuta eneo lake.
12. Tafuta eneo la mraba ambao urefu wake mmoja ni mita 30.
13. Tafuta mzingo wa mraba huu
14. m 30 + m 45 =
15. Badili mm 20 kuwa sentimeta.
16. Badili kilogramu 4 kuwa gramu
17. Mama anaitaji lita 2 za maziwa. Je atanunua paketi ngapi za maziwa ya 1/2 lita?
18. Saa Dakika
6 45
+ 2 59
19. Saa Dakika
8 00
- 4 50
20. Andika muda ufuatao kwa tarakimu saa kumi na mbili kasoro robo
21. Idadi ya wakazi katika vijiji vitatu imeonyeshwa kwenye grafu ya muhimili ufuatao. Tafuta jumla ya wakazi wa vijiji vyote vitatu.
22. Sh. St.
2680 30
+ 130 60
23. Sh. St.
1850 00
- 99 25
24. Sh. St.
120 30
x 4
25. Caroline alinunua bidhaa zifuatazo:
machungwa 3 @ shs. 100/=
embe 7 @ shs. 350/=
mapapai 9 @ shs. 10007=
pakiti 10 za maziwa @ shs. 650
kiasi gani cha fedha kwa bidhaa zote?
Get Schemes Of Work In Zero Waiting Time
Biology Made Simple Step 4 Ready On The Market!Get Your Copy Now
Chemistry Made Simple Step 1
Chemistry Made Simple Step 2
Chemistry Made Simple Step 3
Chemistry Made Simple Step 4